Wana JF nawasalimu. Ninauza gari Suzuki Escudo milango 5 kwa Sh. 8,200,000/=. Gari liko Dar, lina hali nzuri na linatembea. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane.
Wana JF salaam. Naomba kwa mwenye link au list ya SELECTION ya Msc Information Technology and Management kwa mwaka 2012/2013 hapo IFM. Mimi niko huku Singida sijajua kinachoedelea. Please kwa aliye na list anijuze au ani pm. Asanteni
Mkuu kama nimekuelewa ni kwamba hii 65ml ndo bei ya kuuza kwani kodi zote zimekwishalipwa na gari limesajiliwa hapa tz na liko tz na siyo vinginevyo. Nimeona picha nikajua ni pale naniiino. Mi ebu niwazunguukie masela nikirudi nachukua mzigo!
Maswali mazuri sana. Lakini majibu yake ni mepesi kwa sababu ni ya ku shade kati ya "A" au "B". Sasa kazi kwenu kutafuta kushade libu unaloona ni sahihi kwako:
A. Tujivue nguo tubaki na utupu wa mnyama ukweli ujulikane, tuhaibike, tudhalilike mfurahi
B. Tubaki na nguo zetu, tufiche ukweli...
Haki kutendeka ni pamoja na mtuhumiwa kutia hatiani, kuachiwa na hata kesi kutupwa. Hivyo haki kutendeka siyo lazima ushinde. Hata ukishindwa ni haki pia. Vile vile siyo ujuvi kulalamikia kila jambo kwani kwa mawazo ya baadhi yetu ni wazi kila mmoja hata bila ushahidi angeweza kuhukumu atakavyo...
Mimi naona kama tunapotoshwa na hadithi za Katulanda. Tanzania tuna uhaba kama siyo ukosefu wa Waandishi Wachunguzi ndiyo maana hata Taarifa ya Uchunguzi wa mauaji ya Mwangosi iliyotolewa na Waandishi wa Habari imeandikwa kama hadithi ambayo mwisho wake unatatanisha. Kwa tukio la Mwanza, Nasema...
Watanzania tutafakari haya ya HELIGOLAND TREATY hasa hapa "It is common knowledge that African boundaries were drawn by former colonial powers. The border between Malawi and Tanzania was set out in the treaty signed by Britain (representing Malawi) and Germany (representing Tanzania) in the...
Acha visingizo. Yanga waiibie simba nini? Sawa kama ni hivyo, basi Hata hizo za 40ml za Banc ABC Yanga watawaibia. Ila ukweli mnaficha ukweli wa fedha za rambi rambi ya Mafisango, mauzo ya Samata, Ochan n.k mnasingizia kuibiwa!!!!!!!!!!!
Kweli nyie wachangiaji watu wa hajabu. jambo kidogo tu limewajaza upepo na kuwatoa relini na tayari mmepotelea porini na hakuna anayebani kuwa ndo mnazidi kupotezana maana mmekuwa vipofu. Ebu rejea kwenye mstari tusonge mbele sio kuzunguruka tu! Mada inasema "Updates: Hukumu kesi ya EPA leo". Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.