Yanga imekwiba rambirambi za mafisango tukanyamaza na bado wametuhujumu kwa twite?

naivasha

Member
May 13, 2011
94
29
Jamani mbona Yanga wanatuonea hivi? Jamaa wanataka sifa sana. Yaani pamoja na fedha zao, kila siku Yanga wanaona waishi kwa mgongo wetu sisi simba na mbaya zaidi viongozi wetu hawatoi maelezo ya kina! Nakumbuka ni Yanga hawa hawa walituibia fedha za rambi rambi ya marehemu Mutesa Mafisango hadi Simba tukaahibika kule Congo! Viongozi wetu wakakaa kimya!!! Sasa wamemchukua Twite wetu tumenyamaza. Mimi nahisi viongozi wetu ndo wanatuhujumu kwa njaa zao hasa huyu Rage!! Huyu katudanganya kuwa alimpatia Twite dola 30,000 lakini siyo, ndo maana kaufyata. Lakini mbaya zaidi wanatuhujumu kiasi hiki viongozi wanakalia kubishana tu na kutuyumbisha. Alafu hujuma hizi zinachangiwa na viongozi wetu kutaka sifa pia kwa kila kiongozi kusajili wachezaji wake. Ajabu hii yaani timu moja lkn wachezaji makundi tofauti. Hii siyo sawa.
 
Changamka ndugu yangu, kuna 40M za Banc ABC hapo Simba.
Acha visingizo. Yanga waiibie simba nini? Sawa kama ni hivyo, basi Hata hizo za 40ml za Banc ABC Yanga watawaibia. Ila ukweli mnaficha ukweli wa fedha za rambi rambi ya Mafisango, mauzo ya Samata, Ochan n.k mnasingizia kuibiwa!!!!!!!!!!!
 
Simba mmeishiwa hoja,hamna fikra pevu,haiwezekani michango mchangishe wenyewe kisha mle wenyewe then msingizie kuwa mmeibiwa. Laana hiyo itaendelea kuwatafuna msipokuwa makini. Leteni hoja za msingi siyo hi
 
Jamani mbona Yanga wanatuonea hivi? Jamaa wanataka sifa sana. Yaani pamoja na fedha zao, kila siku Yanga wanaona waishi kwa mgongo wetu sisi simba na mbaya zaidi viongozi wetu hawatoi maelezo ya kina! Nakumbuka ni Yanga hawa hawa walituibia fedha za rambi rambi ya marehemu Mutesa Mafisango hadi Simba tukaahibika kule Congo! Viongozi wetu wakakaa kimya!!! Sasa wamemchukua Twite wetu tumenyamaza. Mimi nahisi viongozi wetu ndo wanatuhujumu kwa njaa zao hasa huyu Rage!! Huyu katudanganya kuwa alimpatia Twite dola 30,000 lakini siyo, ndo maana kaufyata. Lakini mbaya zaidi wanatuhujumu kiasi hiki viongozi wanakalia kubishana tu na kutuyumbisha. Alafu hujuma hizi zinachangiwa na viongozi wetu kutaka sifa pia kwa kila kiongozi kusajili wachezaji wake. Ajabu hii yaani timu moja lkn wachezaji makundi tofauti. Hii siyo sawa.

kwan mtan hyo harambee ya mchango wa rambramb mliifanya kwnye ukumb we2 pale jangwan nn inastaajabsha kusema 2mewaibia wakat kila ki2 kilikuwa mcmbaz bro hzo rambramb mwulizen rage bana c vjisent vya uchuro huwa hatuna njaa navyo; mctuchulie cc sheeeenz..!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom