Nahitaji Mkopo wa 7Mil, Riba 3Mil after 4-Months

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,152
Wanabodi,

Nilikua nahitaji mtu anikopeshe Tshs 7,000,000/= kisha nitamrudishia Tshs 10,00,000 baada ya miezi minne baada ya siku ya makubaliano. Kuna mahali nimekwama na mambo yameingiliana kidogo.

Mkopo huu utaendana na dhamana ya moja kati magari nliyonayo au hati kiwanja, na mkopeshaji akitaka basi anaweza pia kuusajili huu mkopo kwa mwanasheria wake.

Mwenye kuhitaji kunikopesha basi anaweza akani-PM.

Thanks,
Sting
 
Gari ni aina gani na hati ya kiwanja kipo maeneo gani .ni pm wakati wowote
 
Nipo Atown ningekuwa dsm tungefanya bizna gari gani unawekq bond na kiwanja kipo wapi?
 
Sasa mkuu KK3 wewe si haupo Dar kwa sasa?
Kiwanja ni jirani yako mkuu, tunakutana palepale pa siku zote, FULL SHANGWE PUB

Ok Mkubwa viwanja vya kibada kwa mpoki da safi sana ningekuwepo dsm tungefanya mchakato
 
Last edited by a moderator:
Kaka nipo serious sana, ni pm kama vipi kesho tufanye biashara,, nipo dar.
 
Back
Top Bottom