JK akoshwa na ziara ya Ivory Coast
*Awaandalia chakula maalumu Golden Tulip
*Ammwagia sifa Drogba, amkabidhi uzi wa Stars
*Awaombea watwae taji, aahidi Watz kuwashangilia
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea kufurahishwa na ujio wa timu ya taifa ya Ivory...