VodaCom ni WEZI

Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
2,182
1,890
Moderator tafadhali usibadilishe heading nimemaanisha iwe hivyo kwani Vodacom ni wezi kweli kweli sio masihara. Nimekuwa najiunga na cheka time yao ambayo wanadai ni 24 hours japo si kweli. Lakini cha ajabu hata hayo masaa ambayo bado ni less than 24 hawatoi hiyo huduma inavyotakiwa matokeo yake wanaiba kwa ku-double charge. Wanadai muda wa cheka time ni ni saa 12-11 jioni na saa 3-6 usiku lakini mara nyingi hiyo saa saa 3 mpaka 6 usiku hata kama una dakika 60 za cheka time hawatumiii hiyo balance badala yake wanakucharge kawaida. Huu kama sio wizi ni nini? Hiyo double charge jamani inakuwaje? Hakuna apology wala refunds kama tulivyozoea mitandao mingine wao wanauchuna, wakikucharge wrongly ndio imetoka hiyo. Its true kwamba computers huwa zinafail lakini basi muwe mnarefund kama wanavyofanya wengine? Huu kama si ufisadi nao tuuiteje? Otherwise badilisheni jina la hii huduma yenu badala ya CHEKA TIME iwe NUNA TIME maana huwezi kucheka kwa kuwa double charged sana sana utaishia kununa tu.
 
SIM card za mitandao yote zapatikana kila mahali, na bei zake zinapangwa na soko! soko letu ni huria
 
Mkuu mimi natumia line ya vodacom, hiyo cheka time ya 24hrs umeisikia kwenye tangazo gani? jamani ebu tuandike habari zenye uhakika isije ikawa humu jamvini tunajadili masuala ya uzushi,mkuu ebu urudi na data kamili.
 
Unategemea kampuni ambayo RA ana hisa kubwa itakutendea haki wewe mlalahoi?
Stuka na kimbia mbio ndefu jiunge na mitandao mingine na si VODA wezi wakubwa.

Halafu we KIFARU huoni kwenye TV wanavyotangaza wakati wa cheka time 24 hrs? tena tangazo lenyewe amefanya kaka yangu Taji liundi lakini tangazo ni DORO kinoma halina stand
 
I wish kampuni zote zingekuwa na flat rate kama za Tigo,bse huu sio ulimwengu wa super profit!
 
Kwa faida ya watumiaji wengi zaidi na Vodacom wenyewe ni vema haya malalamiko ungeyafikisha (kama bado hujafanya hivyo!) pia Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA). Ni rahisi tu, fuata link hii hapa chini:
http://www.tcra.go.tz/customer/complaints.php
 
Mkuu mimi natumia line ya vodacom, hiyo cheka time ya 24hrs umeisikia kwenye tangazo gani? jamani ebu tuandike habari zenye uhakika isije ikawa humu jamvini tunajadili masuala ya uzushi,mkuu ebu urudi na data kamili.

Ish!!!!!!!! Mkuu are U serious au hauko katika Bongo yetu ya kawaida. By the way Cheka time ni wizi mtupu wanatafuta mbinu za kuiba. Kwa mfano kama umeweka cheka time, basi mawasiliano huwa shida sana lakini usipoweka mambo ni tofauti. Kibaya zaidi wameweka restrictions kibao mara cheka time haipo saa11-3 usiku lakini ukweli ni kwamba haipo kuanzia sa11-4 usiku.
 
Mkuu mimi ninavyofahamu kwa kipindi kama cha wiki mbili hivi Cheka time ina anza kuanzia saa 12-11 jioni halafu ina resume saa 4 usiku mpaka saa 5:59, wa TZ tujifunze kusoma maelekezo yote kwenye kila bidhaa tunayonunua, Ukiweka Cheka Time ile message tag inayokuja inakuelezea TIME BAND ilivyo na si WIZI kama unavyosema wewe otherwise kwa kutokusoma maelekezo yake unakuwa unajiibia wewe MWENYEWE
 
Unategemea kampuni ambayo RA ana hisa kubwa itakutendea haki wewe mlalahoi?
Stuka na kimbia mbio ndefu jiunge na mitandao mingine na si VODA wezi wakubwa.

Halafu we KIFARU huoni kwenye TV wanavyotangaza wakati wa cheka time 24 hrs? tena tangazo lenyewe amefanya kaka yangu Taji liundi lakini tangazo ni DORO kinoma halina stand

Hawezi kuwa mlalahoi huyu!! Walalahoi wako TIGO na ZANTEL!
 
La Mgambo!!!!

Wakati umefika wa kususia mtandao wa Vodacom na biashara zote ambazo RA ni mwanahisa, tukiendelea kucheka na huyu muIran atatumaliza tunajiona walahi...........
 
Inabidi uwe mkini maana kila kitu siku hizi ni kutegeshea na ukiteleza tu unaibiwa angalia vizuri wakati wa kujibiwa message unapoingiza cheka time vinginevyo utaliwa au usiwe kabisa na balance ya zaidi ya mia sita kwenye account yako
 
sasa Nashukuru nimeweza ku migrate taratibu toka Voda.baada ya kuitumia kwa more than 5yrs...sasa niko na TIGO...na 75% ya ninaowasiliana nao wapo TIGO....hata mtu wa Voda akinipigia kama hanipati kwenye TIGO lazima ataniambia kwa ukali 'mbona hupatikani kwenye TIGO wewe!!!"HALAFU ANAKATA MARA MOJA !!!..sasa hata kama simu yenye Voda imekwisha chaji...bado napatikana kama kawaida....nafikiri by end of Jan nitakuwa nimeshahama jumla!!!!....poleni mnaofikiri maisha bila kuibiwa na RA hayawezekani !!!
 
Mkuu mimi natumia line ya vodacom, hiyo cheka time ya 24hrs umeisikia kwenye tangazo gani? jamani ebu tuandike habari zenye uhakika isije ikawa humu jamvini tunajadili masuala ya uzushi,mkuu ebu urudi na data kamili.

Duuuuh Mpwa uko Bongo kweli au??au unareta mautani hapa? au wewe hutumi vodaline sie wayu wa Zain Taifa kubwa twajua hilo we unaetumia voda usijue??

kwanza hiyo cheka Time imesababisha kuwepo na communication problem kuta traffic jam ya Simu msipime kumpigia mtu itakubidi urudierudie kama mara mbili na zaidi au hutosikilizana nae cheka time itolewe kwanza ni vurugu tu hapa

Back
Top Bottom