mfadhili wako mbowe, baba mkwe wake pamoja na wewe msingekuwa terrified kiasi hicho..kichwa hicho kinawasumbua chadema nzima poleni..
Umesoma michango yake kwenye mambo ya ujenzi, mipango, na usafi wa miji? the guy ni pro kwenye hayo maneno (we acha tu).
Nd. Kibunango,
Tuhuma hana, isipokuwa wengine tungelipenda kujua tu kama ile barua bado anatembea tembea nayo mfukoni au kaiacha huko huko Ujerumani!
Wakuu
Heri ya Xmass na Hongereni kwa mapumziko kwa wale mlioko mapumzikoni,naamini tumepata muda mzuri wa kutafakari kwa kina mafanikio tuliyoyapata mwaka huu yawe ya binafsi ama ya taifa.
Muda mfupi uliopita nimeona kijana Zitto mitaa ya kati lakini sikupata bahati hata ya kumsalimia tu ingawa nilitamani kufanya hivyo.Nimefurahi sana kumuona Zitto kwakuwa nadhani na pia nashauri afanye mkutano na media ili aweze kujibu tuhuma zote tulizozisikia na kuzisoma kipindi ambacho hakuwa nchini.Ni vema tukamsikia nakumuona live kwenye luninga akijibu tuhuma hizo.[/QUO
sasa wewe ulitaka asirudi au?si amerudi kupumzika kwao kigoma !! hamna kipya hapa kaka...muache tu arudi na aende tena huko alikokuwa haisumbui hata kidogo.
Nisingekuona kwenye hii Thread walahi ningekwenda kwa yule Mnajimu wenu (sheikh Yahaya) nikaulize kulikoni? teh teh teh!Aanze mbowe kujibu tuhuma za kuumua wangwe.
Aanze mbowe kujibu tuhuma za kuumua wangwe.
Utaacha lini kuwa kibaraka?
Aache profession? Atakula wapi?
Nd. Kibunango,
Tuhuma hana, isipokuwa wengine tungelipenda kujua tu kama ile barua bado anatembea tembea nayo mfukoni au kaiacha huko huko Ujerumani!
Wakuu
Heri ya Xmass na Hongereni kwa mapumziko kwa wale mlioko mapumzikoni,naamini tumepata muda mzuri wa kutafakari kwa kina mafanikio tuliyoyapata mwaka huu yawe ya binafsi ama ya taifa.
Muda mfupi uliopita nimeona kijana Zitto mitaa ya kati lakini sikupata bahati hata ya kumsalimia tu ingawa nilitamani kufanya hivyo.Nimefurahi sana kumuona Zitto kwakuwa nadhani na pia nashauri afanye mkutano na media ili aweze kujibu tuhuma zote tulizozisikia na kuzisoma kipindi ambacho hakuwa nchini.Ni vema tukamsikia nakumuona live kwenye luninga akijibu tuhuma hizo.
Zitto anayesemwa si ndo huyu mwenye magari matatu ya kifahari aliyoamua kutoa sadaka kwa Kilaza Kafulila?
Si ndo huyu anayepingana na katibu wake?
Au sio huyu aliyemwita mwenyekiti wake Bepari na yeye akajiita mjamaa mwenye vigari zaidi ya vitatu ilhali jimboni kwake watu hawana hata baiskeli?
Si ni Zitto huyu aliyesema atampigia kampeni Kilaza hata kama chama chake (ambacho yeye anaamini ndo chama mbadala) kitasimamisha mgombea?
Si Zitto huyu huyu aliyekuwa anatembea na barua ya kujiuzulu?
Si ni huyu anayetuhumiwa kuharibu uchaguzi wa baraza la vijana la Chadema?
Si ni huyu aliyekuwa analalamika Slaa anaingilia mawasiliano yake na wadau wake?
Au sio huyu aliyekuwa anaandikiana Email za kipuuzi zinazohusu chadema na kilaza mwingine aliyefukuzwa Chuo cha Tumaini Iringa kwa kashfa ya kughushi vyeti (anaitwa Denis Msaki)?
Si huyu aliyeongea na powerbreakfast ya clouds akajibu upupu mtupu?
Si huyu aliyesema atarudi tarehe 11 Januari?
Kama ni yeye basi tunamkaribisha zana Bongo, aendeleze UNAFIKI wake.
Unamwita mnafiki at the same time ndiye katibu mkuu wa chama, umemtuhumu tuhuma kibao ndani ya chadema, ina maana wao chadema wajinga mpaka wakampa uongozi? nyie baadhi ya chadema mbona mna akili mgando? kama ana tuhuma nani wa kumchukulia hatua, ? si chama? kwa nini hawamwezi? unabaki kutoka povu hapa?
Zitto anayesemwa si ndo huyu mwenye magari matatu ya kifahari aliyoamua kutoa sadaka kwa Kilaza Kafulila?
Si ndo huyu anayepingana na katibu wake?
Au sio huyu aliyemwita mwenyekiti wake Bepari na yeye akajiita mjamaa mwenye vigari zaidi ya vitatu ilhali jimboni kwake watu hawana hata baiskeli?
Si ni Zitto huyu aliyesema atampigia kampeni Kilaza hata kama chama chake (ambacho yeye anaamini ndo chama mbadala) kitasimamisha mgombea?
.
Si Zitto huyu huyu aliyekuwa anatembea na barua ya kujiuzulu?
Si ni huyu anayetuhumiwa kuharibu uchaguzi wa baraza la vijana la Chadema?
Si ni huyu aliyekuwa analalamika Slaa anaingilia mawasiliano yake na wadau wake?
Au sio huyu aliyekuwa anaandikiana Email za kipuuzi zinazohusu chadema na kilaza mwingine aliyefukuzwa Chuo cha Tumaini Iringa kwa kashfa ya kughushi vyeti (anaitwa Denis Msaki)?
Si huyu aliyeongea na powerbreakfast ya clouds akajibu upupu mtupu?
Si huyu aliyesema atarudi tarehe 11 Januari?
Kama ni yeye basi tunamkaribisha zana Bongo, aendeleze UNAFIKI wake.
Wakuu
Heri ya Xmass na Hongereni kwa mapumziko kwa wale mlioko mapumzikoni,naamini tumepata muda mzuri wa kutafakari kwa kina mafanikio tuliyoyapata mwaka huu yawe ya binafsi ama ya taifa.
Muda mfupi uliopita nimeona kijana Zitto mitaa ya kati lakini sikupata bahati hata ya kumsalimia tu ingawa nilitamani kufanya hivyo.Nimefurahi sana kumuona Zitto kwakuwa nadhani na pia nashauri afanye mkutano na media ili aweze kujibu tuhuma zote tulizozisikia na kuzisoma kipindi ambacho hakuwa nchini.Ni vema tukamsikia nakumuona live kwenye luninga akijibu tuhuma hizo.
Kwanza Zitto sio katibu Mkuu, ni Naibu Katibu Mkuu.
Besides, unapokuwa katibu Mkuu ndio kinga ya kutotuhumiwa?
and then asipojibu au kuchukuliwa hatua kutokana na tuhuma hizo udhaifu unakuwa wa Zitto au wa chama??