Waberoya na MTM, tuko pamoja,
Tatizo ni kwamba siasa za vinchi masikini kama sisi..tatizo kubwa ni kueleweka. Wananchi, collectively, we take too long to understand small things.
Harafu wakuu make no mistake..ukiona watu wanaongea saaana..ujue wana hofu. I can asure you, wengi wanaomponda Zitto wanafanya hivyo kwa hofu. Wanaogopa akihama inaweza kuwa mwisho wa upinzani. Hata kama siyo kweli. Ndo maana watu wanakuwa waoga na kujifanya kumponda.
Juzi tuliona Senator Liberman..alivyotoswa na Democrats..akaenda Independent...kachukua kiti..leo wako pamoja..ingawa hawakumsupport..jamani kipi kigeni Zitto anafanya?
Ana haki kabisa ya kumsupport Kafulila irrespective yuko chama gani..tatizo wengi wetu tunajua upinzani ni lazima uwe kwenye chama pinzani. Mfano leo nikisema namuunga mkono Mwakyembe..It doesnt mean kwamba naisupport CCM...hata CCM kuna watu wenye busara na moyo wa kulijenga taifa.
WOTE inabidi tuelewe..upinzani ni kwa ajili ya kuleta ALTERNATIVE IDEAS. Sasa kama Kafulila ana alternative ideas ambazo Zitto anaona zinafaa kwa wanakigoma... kwa nini asimuunge mkono? Harafu tuache unafiki..wengi tumemjua Zitto juzi juzi..lakini kuna watu kama akina Kafulila wametoka wote mbali..(by the way ni Kigoma mwisho wa Reli).....So lazima tujue uhusiano wao umeanzia wapi. Mimi kama mimi..sioni tatizo kabisa.
Kusema wazi kwamba CHADEMA ilikosea kumvua madaraka kafulila..Zitto, kakosea wapi? Sema..ni yale yale ambayo hatujazoea kukosoa system. Zitto anakuwa muwazi kwa yale asiyokubaliana nayo. Jamani why do we take too long kuelewa vitu simple kama hivi?
Watu wamemsema Zitto..mpaka inasikitisha..lakini ukiangalia ni wale wale...wanaokusupport leo mchana ukisema wanalotaka kulisikia..watakao kuzomea jioni..ukisema wasilotaka kulisikia. And thats a typical characteristic of politics in banana republic...
I just say, whatever he does..lakini Zitto ni true politician anayejua anachokifanya. We have never, I say it never..had a person in the calibre of Zitto. Haogopi kukwambia what he believes in, hata kama unaona maamuzi yake hayafai. And thats leadership!
Zitto you have my vote!
Masanja,