2010 je wanajf wangapi wamejitoa kwa ajili ya mabadiliko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2010 je wanajf wangapi wamejitoa kwa ajili ya mabadiliko?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MtazamoWangu, Jan 7, 2010.

 1. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF nawasalimu wote.

  ni Mtazamowangu kwamba tumekuwa waelimishaji,wachambuzi,wakosoaji,waelevu, walekezaji wazuri sana kupitia Forum hii katika masuala yote ya kijamii,kisiasa,utamaduni,kiuchumi....
  viongozi wengi wa kisiasa,kidini,kijamii na wengine wamekuwa wakitumia forum hii katika kupata mawazo mbadala,kujenga hoja zao na mengine mengi.
  JF pia kwa asilimia kubwa tumekuwa wasemaji wazuri sana kuhusu uongozi tuliokuwa nao, kwa mtazamo wangu nimeona asilimia kubwa sana hatujarizika na utendaji wa uongozi wetu wa nchi na hatufurahishwi na vitendo vingi sana vinavyofanya na viongozi wetu wa serikali na idara zake, kwa maana hiyo tunakubaliana kama tunahitaji mabadiliko.
  huu ni mwaka 2010, mwaka ambao tutafanya uchaguzi wa viongozi wetu, ni nafasi kubwa sana kwetu kuinfluence changes, but ALLWAYS CHANGES BEGIN WITH YOU....
  NATAKA TU NIJUE JE WANAJF WANGAPI WAMEJITOLEA KUGOMBEA NGAZI TOFAUTI KATIKA KUTAKA KULETA MABADILIKO?
  2. JE WATAKAO JITOKEZA TUTAKUWA TAYARI KUWASAIDIA? KIUSHAURI,KIUCHUMI,KISIASA..NK
  3. AU JE TUNA MUONGOZO GANI KATIKA KUTAKA KULETA MABADILIKO AU KUONGEA TU HAPA INATOSHA?

  ASANTENI,

  kumbuka ni mtazamo wangu tu......
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Changamoto ni nzuri lakini ni vigumu kuahidi kumsapoti mtu ambaye hajajitokeza. Suala la msingi hapa ni kwamba watu wajitokeze, tuwaone, tuwapime uwezo wao na watupe mitazamo na malengo yao ndipo tunaweza ku judge kama wanatufaa, au wanahitaji kitu gani ili waweze kufaa, kwa hivyo ni mapema kusema chochote kwa sasa mpaka hapo watakapo jitokeza.
   
 3. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nilishajitokeza siku nyingi tu. najua sijaweka mambo mengi hadharani lakini tuvute subira kwani muda muafaka karibu unafika.

  mapema mwezi ujao (february) nitarejea nyumbani na kutangaza rasmi nia yangu hiyo na jimbo ninalogombea. tuvute subira, bado kama wiki tatu hivi
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ngoja zianze kugawiwa tshirts na pilau hapa, uone hadi matundiko yatavyobadilika kumsifia nanihiino!..

  Baadhi ya watu hapa wana hasira coz wana njaa!..Kalagabaho!
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  afu na weewe hata mimi unanificha ndo nini sasa!!! anyway ukimwaga details hapa kama zipo kwenye mrengo wangu...why not????
   
 6. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vigumu kuwajua kwani huenda user names zao katika JF sizo zitatumika katika kugombea.

  Ni wachache hapa JF tunatumia majina yetu halisi.
   
 7. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naogopa wenye mali yao wasije wakanishukia kama mwewe!!!!!!!!!!!
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mimi mali ya Mungu tu!!! shauri yako kura yangu will make a huge difference!!! ila sitaki mambo ya kutudanganya na pilau n stuff hapo utanikosa kabisa!!! uza sera ziuzike tu basi. hatutak ilongolongo kama za prof J hapa!!!
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2010
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Kama unataka kufanya mabadiliko yoyote Tanzania, wewe fanya tu bila kutegemea msaada au kuungwa mkono hapa JF. Kwa kiasi kikubwa tegemea watu wengi wa kukupinga kuliko kukuunga mkono.

  Kama una imani na mabadiliko unayotaka kufanya, wewe fanya na watu wakiona ndio watakuunga mkono. Many Tanzanians are laggards and not Innovators, wanachukua muda kujua wamuunge mkono nani na wanaunga mkono watu ambao tayari wana mafanikio na sio wale wanaotaka kufanya mabadiliko. Ni rahisi kumuunga mkono Magufuli ambaye wanamjua kuliko kijana mpya ambaye ana promise change.

  Watu wengi wanashindwa hata kujitokeza hapa JF kwasababu ya kuogopa kushambuliwa na mafisi na masimba ambayo yana interests upande mmoja ama mwingine.

  Pia elewa kwamba Watanzania wengi ni mabingwa wa kusema; ikija vitendo ni sifuri. Ukiamua kufanya jambo usitegemee hawa Watanzania watakuunga mkono kwa vitendo. Ukiwa na bahati utaungwa mkono kwa maneno matupu. Lakini kama huna bahati utaungwa mkono kwa matusi na kejehi.

  Mabadiliko yoyote lazima yalenge watu ambao unataka mabadiliko hayo yawaguse. Ukitaka kulenga hapa JF utakatishwa tamaa baada ya wiki moja tu.
   
 10. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Emma M. ni jina halisi..?:confused:
   
 11. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  thanks mkuu, you have said it all.....ila lazima kama forum tusiwe waongeaaji tuuu, hapa ndani kuna vichwa vingi sana vya maana japo huwezi kujua wanatokea pande zipi za itikadi.....

  asante sana....
   
 12. pius-ndiefi

  pius-ndiefi Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Kama unaogopa joto, usikae jirani na jiko! [​IMG]
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nadhani wote tumejiandaa.
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hamna cha kujitoa hapa.
  WANA-JF MKO AROUND 12000 mliojisajili..tuweke hata 30000,halafu kuna influencial figures hawazidi watano.halafu KISIASA kuna mhimili mmooja ambao kila mwana jf AMEUEGEMEA(mwanakijiji)!kibaya zaidi ni kwamba huyu mtu hayupo tanzania FIZIKALE.na nina uhakika HAYUKO TAYARI KUONYESHA SURA YAKE(pamoja na kwamba tunamtegemea sana)!........ASILIMIA KUBWA YA WANA JF NI MAMLUKI WA SERIKALI ILIYO MADARAKANI,kazi yao ni kupindisha facts humu ndani,na kuuzima moto wa mabadiliko

  ........bado sana wazee!
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  scary man!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni wewe unayeogopa kivuli chako..badilika wewe acha kuogopa wanaJF kwa hisia kwamba wanapindisha mambo..

  Nani kakwambia mabadiliko ni lelemama kazi buti.
   
Loading...