Recent content by phc girl

  1. phc girl

    JamiiForums Tanzania Pale mke anapokua na matatizo ya uzazi ni sahihi mume kuzaa nje?

    Hii ni kweli kabisa
  2. phc girl

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Daah teacher ryoba from makongo,advanced mathematica,barikiwa sana
  3. phc girl

    JamiiForums Tanzania Nashukuru (HESLB) kuninyima mkopo mmenifunza maisha

    Amina kaka mimi pia nimekosa ila nimepata akila ya kuwauzia vitu wenye mikopo, Mungu ndiye atajua,hamna sababu ya kukata tamaa
  4. phc girl

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya 5 imezidi kutuonea kuhusu swala la mkopo

    Mimi natamani kulia lakini sina jinsi
  5. phc girl

    JamiiForums Tanzania Sina imani na NECTA kwa upande wa Private Candidate!

    Wakati mwingine kujiamini kupita kiasi siyo nzuri
  6. phc girl

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hawaeleweki sasa

    Yani Mimi nawasubiri maana walisema in Jana sasa cjui imekuwaje
  7. phc girl

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Mitihani yetu ya Darasa la Saba ilikuwa inaanza ivi

    Hahaha na maumbo kutafuta mzingo[emoji3] [emoji3]
  8. phc girl

    JamiiForums Tanzania Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

    Sidhani kama ndo huyo ambaye yupo kwenye list ya makonda
  9. phc girl

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Bariki wa elimu nzuri
  10. phc girl

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya maziwa fresh na mtindi

    Tanga fresh ndyo yanapenda sana
  11. phc girl

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi napenda kufuga kuku ila kila nikifuga wanakufa,kwann au nakosea namna ya kufuga
  12. phc girl

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Jamani Mimi naona makonda anganza na wahusika wakuu ambao kuna ingiza madawa ili kuwanusuru vijana wenzetu
Back
Top Bottom