TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,253
- 4,192
Japo mwanzoni, kwangu niliona kama nimeonewa na BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ila leo naona wamenifunza kuyajua maisha.
Tangu nikose mkopo huo sikupata usingizi mzuri niliwaza sana namna ya kuweza muda maisha ya mjini.
Mungu hakunitupa kutokana na juhudi zangu alinyoshea nikapata ahuheni. sasa naishi kwa kwa amani na nayajua maisha yangu na masomo yanaenda vizuri tena nikiwa na amani hata nikimaliza chuo sina deni la mtu.
Nawakumbusha wanachuo wenzangu mkumbeke kutumia huo mkopo vizuri na mjue kuna maisha baada ya chuo tena ya kutafuta ajira na kurudisha mkopo..
KIKUBWA "USIKATE TAMAA KAMWE" Mana nilishauriwa sana niairishe mwaka ila sikurudi nyuma.