Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,453
Naandika makala haya kwa uchungu kabisa kutoka moyoni
Sababu kuu ni kitendo cha kunyimwa mkopo wa kuendelea na elimu ya chuo kikuu
Kwa kifupi alama zangu na pia kozi niliyochagua ina kipaumbele cha kupewa mkopo lakini kwa serikali yetu hii ya kiuonevu bado inaninyanyasa kwa kweli
Haiwezekani watu zaidi ya laki moja waombe kukata rufaa ya mkopo halafu wapewe watu 1500 tu pekee hii aingii akilini kwa kweli
Mkuu wa nchi ziko wapi zile ahadi zako kuhusu masuala ya mkopo kwa wanachuo?
Ushasahau tayali?
Au kwa kuwa ushapata kile ulichokuwa unakihitaji?
Nasononeka sana kwa ajili yako,hii dhambi utakuja kuilipa ,
Sisi wengine tuna lelewa na mama zetu tu basi,na familia zetu ni kubwa sana
Kwa hiyo kitendo cha kutunyima mkopo mnatuumiza sana