Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 821
- 491
Hata chuoni huku hakuna taarifa zozote hadi sasa boss.majina yanapelekw kwa institute, so better kauliz chuon
wanazinguaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chuo gani hicho. Na imekuaje ?HESLB muda mwingine wanafanya mambo ya ajabu sana,mimi semester hii hapa walitoa jina kua nimepewa asilimia 87,na nikasajiliwa kwa kulipa kiasi cha ada nipichokua nadaiwa.Baadae naambiwa na waziri wa mikopo hapa college of education kua tumeweka kikao na watu wa bodi wamedai kua watashindwa kudai pesa za mwaka mmoja na hivyo walifanya makosa kufanya allocation.
UDOM,tuliletewa majina kua tumefanyiwa allocation ya mkopo ingawa sisi ni mwaka wa tatu,tukalipa ada kwa kufuata hiyo allocation yuliyoiona,baadae majibu yskaanza kukinzana mara "bodi wanasema tuliwapangia kimakosa",mara "tutashindwa kuwadai kwasababu nyie mtapata mkopo wa mwaka mmoja",kiufupi hawako serious hawa HESLB,mbaya zaidi tulisajiliwa kwa chuo kutegemea watakata kiasi kingine bodi wakituma pesa,inamaana kwa namna moja au nyingine chuo kimekosa mapato ya ada kama inavyotakiwa kwasababu watu hatujarudi tena benki kulipia kiasi cha ada ambayo ilibidi ilipwe na bodi.Utawala wa chuo nao haujatoa tamko lolote la aidha sisi tulipe ile hela au laa,nasisi tumekausha kwasababu tuliharibiwa bajeti yetu hasa pale tulipokopa baadhi ya pesa kwa wanachuo wenzetu kwaajili ya mambo mbalimbali kama ulipaji wa ada na direct cost,hasa ada ya semester iliyopita,kwani baadhi yetu hulipa ada ya semester ya mwaka wa kwanza wa masomo na semester ya pili huwa hatulipi kabisa tunakuja kulipa semester nyingine ya mwaka mwingine wa masomo,hivyo bodi imetuacha na madeni ambayo tunajitahidi kuyalipa kwa pressure ya wale wanaotudai ambao wameona bodi hawataleta pesa zetu.Bila bodi kufanya makosa,tungekua tumesajiliwa kwa vibali maalum kama baadhi yetu walivyosajiliwa na kulipa taratibutaratibu.Chuo gani hicho. Na imekuaje ?
be seriousMlikataa elimu bure!mkachagua elimu ya mkopo.
Siasa zako za Maji taka peleka huko, watu wanajadili mambo ya maana unaleta u-ccm na uchadema wako hapaMlikataa elimu bure!mkachagua elimu ya mkopo.
Sio hivi,na hili suala la makosa ya bodi ya mkopo kama wanavyodai hawa maofisa wakikutana na mawaziri wa mikopo ya chuo,inaonyesha dhahiri kua baadhi ya watendaji katika serikali hii hawako makini,wameleta usumbufu ambao haujutegemewa hasa kifedha,wasingefsnya hayo makosa wakaacha vilevile kama tulivyokua tunaishi,tusingesumbuka kama ilivyo sasa.Madeni kila kona,kila tukijaribu kuyalipa vikwao vya hapa na pale vinajitokeza,huku uwaze masomo huku uwaze madeni,hii inaweza athiri hata ufaulu wa mwanachuo.Muwe wavumilivu mkuu ananyoosha nchi kwanza nyie tulieni mtasoma akimaliza kunyoosha nchi. Ila 2020 msifanye kosa
hongeraNajiona mimi.