Sina imani na NECTA kwa upande wa Private Candidate!

Prove me wrong..
Mtihani na Marking scheme inayotumika ni moja kwa PC na SC so bias inaanzia wapi?

And the marking system which is used by necta is conveyer belt method,meaning that mtihani hausahihishwi na mtu mmoja. So how is it possible kila mtu akafanya bias kwa ma pc?
 
Nina wasiwasi Na uelewa wako
 
Umeelewa nilicho kiandika?
Nimeelewa ndo maana nimekujibu hasa unaposema pcs wanawachukulia na watu wazima,lini ulimark mtihani mkajadiliana kuwa pcs ni watu wazima tusiwajali?!?!
 
mimi nilifanya mtihani mwaka.2013 kama.PC na nilipata 'A' ya basic math peke yake kito nilichofanyia mtihani ni LUHANGA PARISH CENTRE namba ya mtihani ni p3637/0050 kama mtu haamini atazame kwa.kujiridhisha
 
Naongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.
Somo najiamini, nimejibu vizuri, nina uhakika kama sio A basi ni B. Eti Necta wananiwekea D au kisa mimi ni PC.

Somo ambalo sifikirii kama nitashuka chini ya A, eti wananiwekea B.

Au NECTA mmezuia kwa PC kupata A kwa somo lolote?

Na laiti NECTA wangekuwa wanaruhusu kwa PC kupata A, basi mimi ningeipata A ya Kemia na sio ile B.

Na tena hadi hii leo sijaona A ya PC kwa somo lolote kwa miaka yote, na kama ipo mtu alete link ya matokeo hapa.
Hii haimaanishi kuwa PC wote ni VILAZA, hadi washindwe kupata A, bali kuna kizuizi walichoweka Necta kwa PC.

Nilfikiria Rufaa, nikaona haifai. Ni vigumu kwa baraza hilo hilo wakuwekee D, kisha ukate rufaa wakuwekee B. Hapa nashauri Wizara ya elimu iunde BARAZA HURU LA RUFAA YA MITIHANI YA TAIFA. Ambapo hilo lisiwe chini NECTA, bali lijitegemee. Na ndio maana kuna mahakama ya mwanzo na mahakama ya rufaa.

Na laiti RUFAA ingekuwa yasahishwa kihalali, mimi ningejiandaa na rufaa!

Ama kungekuwa na uwezekano tu, wakuona karatasi yangu ya kujibia NECTA nina uhakika watakuwa wamekosea yafwatayo kati ya haya.
1. Kutosahishwa baadhi ya maswali.
2. Kujumlisha max katika mtihani mzima!
3. Kukosea kupanga daraja. Yaani badala ya kuweka B kwa max nilizopata wakeweka D.

Nina uchungu sana kiwango changu cha Phys hakifanani na D. Ambapo D naiona kama nusu F.

Nina uhakika kwa PC anayepata div 2, angefanya mtihani kama SC, ANGEPATA ONE. Na anayepata B, angepata A.

Mwisho kabisa sipendi kushauri saana, mwanafunzi aliyefeli arisiti. Ni heri arudie kidato!

Mimi ni PC mwenye UCHUNGU NA ELIMU from CSEE 2016.
 
Pole kwa yaliyotokea na Hayo ni mawazo yako.
Unaweza ukadhani kwamba umefanya mtihani vizuri sana kwa kujibu maswali yote lakini haukuwa sahihi au kuna makosa madogo madogo ya kufanyia kazi.
Kwa mfano unaandika kwa vifupisho ukiamini msahihishaji anajua maana ya vifupi hivyo. Pia uandishi mliozoea wanafunzi wa sasa hivi (siyo wote) ni wa hovyo haujawahi Kutokea.

Sasa wewe kwa kusoma kwako "marks" unaandika
"max" ukiwa na maana ya alama? Kisha utasema umejibu mtihani vizuri ila NECTA wamekuonea.
Pili kuna suala la kujibu swali kichwani badala ya kuandika kwenye karatasi.

Mfano kwenye masomo ya sayansi unatumia vifupisho au simboli kwenye kanuni bila kueleza maana ya hivyo vifupisho yaani umebakia navyo kwenye ubongo wako, msahihishaji anasahihisha mawazo yaliyo kwenye karatasi. Mfano max=maximum (siyo marks) au min = minimum (siyo minutes). Ukiacha tuu bila kuonyesha maana ya vifupisho hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kukosa kueleweka.
Nafasi ya kurekebisha bado ipo na usitumie hasira....
 
Siyo lazima kifanya mitihani ya NECTA. Kuna Cambridge na mimgine mingi tu. Acheni kudumaa akili..mfano kila mtu anataka asome UDSM kwani lazima usome TZ? NENDA KASOME London au kwingineko. Kuna online education siku hizi...
 
Acha kupotisha usahihishaji uko sawa kwa pc na s.c tatizo la mareseaters wengi wanajiamini na matango poli yao,nasema huu ni ukweli kabisa
Hahaha...! Umenikumbusha 2011 natoka toilet naelekea kwenye chumba cha mtihani nikakutana na mshikaj wangu akanipa tango pori la CIVICS nkalipitia kwa haraka sana kama past papers zingine nikakuta Essay zote nazifahamu na kwa kuwa nayafahamu sikulitilia maanani. Nikageuza toi chap nikatupa nikarud kwenye chumba cha pepa. Ile napewa pepa nikakuta sio lile nililopewa nikacheka kimoyomoyo, akili ikajirudi nikapiga pepa. Kufika pepa la Hist nikaitwa kwenye tango pori nikapuuzia, sikwenda. Pepa kuja nikatusua. PC kuna matango pori mengi, mtu anakaa gheto kwake anaunda tango, analisambaza na kundi lake ili kuangusha wengine.
 
Back
Top Bottom