Recent content by Paschal1804

  1. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Punguza ukabila mzee
  2. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Daah! Tunatofautiana mengi sana watanzania na wakenya aisee,,, wakenya vitu mnavyovipenda na kuvishobokea huku kwetu watu hawana habari nazo. Mtu unaona ufahari kura kuku wa mtumba KFC kwa tsh 20k wakati hichohicho kiasi nikienda sokoni nanunua kuku wakinyeji Safi kabisaa nakula na familia pia
  3. Paschal1804

    Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

    Hata benzema ni mualgeria pia
  4. Paschal1804

    Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Hapana ndugu ukiwa na kipaji unadundatu Kama kawa hata mjerumani lahm alkuwa na kimo Kama Cha job
  5. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duuuuh! Wewe jamaa hapo umeandika kiswahili au kilingara
  6. Paschal1804

    Ligi kuu Tanzania bara

    Mm nakereka na viwanja vya mikoani nivibovu Sana serikali inatakiwa kuboresha hv viwanja angalau kwenye pitch ziwe za kimataifa
  7. Paschal1804

    Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Dutwa nmezka 47 mln marudio ya hapo ni matatzo ndugu
  8. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwahyo wewe jamaa unataka ndani ya familia ya watu kumi kila mtu awe na kisimbuzi chake!?? #Zero brain
  9. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ahahahah daaah! Kama mbingu na ardhi
  10. Paschal1804

    Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
  11. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aliingia mkataba gani ambao ni kifisadi? Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
  12. Paschal1804

    Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
  13. Paschal1804

    Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Please guys hebu acheni kueneza ukabila, Bora uchangie hoja Kama huna baki kusoma comment ujifunze kitu kuliko huu upuuzi unaofanya Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
  14. Paschal1804

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji122][emoji122][emoji122] Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
  15. Paschal1804

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    [emoji122][emoji122][emoji122], watu wanashindwa kuelewa hicho kitu Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom