Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,208
Kapombe aliwahi pia kucheza kiungo namba 8 kama sijapoteza kumbukumbu.Hapa umenena,hata kocha liweg alivyokuja simba alimkuta shomari anazima tano,
Kwa shomari alivyokua fundi na kocha alikua anataka beki wa kati mwenye kimo
Akamsogeza mbili,shomari nae akafungua moyo
Yaliyobaki ni historia.