Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Ndo kwanza nimepata sample ya point 2 kirova na hii ni baada ya miezi 14
 
Me nipo huku Dutwa bariadi, madini yapo ila shida ni maji mengi, watu tunaogopa kuzika mitaji.
Dutwa nilikuja kipindi pamefoka, nikaona hapaeleweki nikasepa.

Huku nilipo maji ni mengi ila umeme upo karibu hivo hatuteseki
 
Dutwa namba moja ndo pakijinga, namba mbili dhahabu ipo ila inenda inapungua.

Dutwa namba moja, inataka kubinafsishwa kwa mchina(ipo on process), maana Raia wa kawaida hawapawezi maji ni mengi ku-run duara ni pesa ndefu.

Mkuu wewe upo wapi?
 
Musoma vijijini
 
Kuna watu wanadhani dhahabu ni mchezomchezo, dhahabu ni kuloga hasa ila watu wakifika humu jF utasikia "chamsingi ni juhudi"
Upande wa kiza unadai majini ndio yaliyoficha ivi vito vya thamani na wao ndio wanajua uelekeo wa kuvipata bila kumwaga damu msio na mitaji hamtoboi
 
Unachimba na mwenzako maduara yaliyo jirani kwamba mmoja,mwenzako anaepata wewe unapata mawe hayana hata chabo. Hela haijawahi kuwa nyepesi.

Unanunu mawe na mwenzako, unachukua mifuko ishirini unapata gram 5, mwenzako ananunua palepale mifuko kumi anapata gram 20.
 
Nilishaambiwa kama unataka kwenda huko njoo nikutengeneze kwanza moja kwa moja nikajua hii ngoma ni ngumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom