Huyu kocha jau mfumo wa back three hauwezi kukufikisha popote hatuna beki bora wa kuendana na mfumo,ona sasa tunapigwa kama ngoma.
Mechi tano tumefunga goli 10-tumefungwa 12 .
Martinez anaonekana sio kipa bora kumbe beki zinavuja.
Alonso out
When I was sick as a little kid
To keep me happy, there's no limit to the things you did
And all my childhood memories
Are full of all the sweet things you did for me
And even though I act crazy
I gotta thank the Lord that you made me
There are no words that can express how I feel
You never kept...
Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina. Taarifa hiyo ameitoa leo, Agosti 31, 2026, kupitia ujumbe kwenye Instagram yake.
Messi amesema amefikia uamuzi huo baada ya kutafakari kwa muda mrefu tangu fainali ya Kombe la Dunia 2026, akieleza kuwa ni uamuzi...
Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne.
Mechi-84
Magoli-21
Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida.
Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.