Papillon 1906 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 234 Reaction score 760 Jul 31, 2026 #1 Mshahara laki tano PAYE na HESLB vinanimaliza, chumba elfu 50 kwa mwezi kimsingi kabla ya mwezi kuisha sina kitu mikopo inaniokoa.
Mshahara laki tano PAYE na HESLB vinanimaliza, chumba elfu 50 kwa mwezi kimsingi kabla ya mwezi kuisha sina kitu mikopo inaniokoa.
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,404 Reaction score 6,685 Jul 31, 2026 #2 Weka mchanganuo wote hapa wa matumizi yako kwa mwezi utapata maarifa zaidi.
Amatoro Senior Member Joined Mar 6, 2023 Posts 130 Reaction score 339 Jul 31, 2026 #3 Tafuta shughur ya kufanya
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,486 Reaction score 27,705 Jul 31, 2026 #4 Imebidi nianze kulima mboga mboga na kuuza vya kupima
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,235 Reaction score 83,223 Jul 31, 2026 #5 Duh! pole sana tafuta na kazi mbadala hapo
Psalm 103 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2026 Posts 1,658 Reaction score 2,725 Jul 31, 2026 #6 Ongezea... ongezea bado sana¡