Wazazi, mapenzi ni ya watu wawili

Wazazi, mapenzi ni ya watu wawili

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
207
Reaction score
713
Mzazi unajukumu la kushauri tu katika mahusiano ya mtoto wako sio kumpangia nani aoe au nani hasioe kadhalika na upande wa kuolewa.

Sio wewe ndio kuwa kifua mbele fulani simtaki oooh ukiwa nae mimi sio mama yako au mimi sio baba yako,nadhani uko upstairs hauko sawa.

WAZAZI you better watch your back
 
Nikiona mzazi anampangia mtu wa kuoa au kuolewa,,, nasikitiika shana!
 
Back
Top Bottom