Recent content by papida

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa nao Ni husband material

    Hiyo si sawa inabidi amhudumie mambo ya muhimu kuliko kula bata halafu demu anahitaji matumizi hapati. Lakini kuhusu kuoa ni uamuzi unaohitaji umakini sana kuna uwezekano kaona sio wife material.....
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, lini utaacha kuwadanganya wananchi?

    Jifunze kufupisha Maelezo. Umeandika mambo mengi halafu utumbo tupu. Mda mwingine leta mada inayoeleweka sio kuandika kauli za kujikomba kwa serikali.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Bajeti hii ni ya kukumbatia mafisadi, Utumbuaji majipu wa Magufuli ni wa mwaka 1 tu

    Halafu kuna watu hawajielewi yani ikitokea kiongozi wa chama tawala kakosoa serikali wanamwona msaliti... Kiongozi mwenye hekima anapoona kuna tatizo lazima aweke bayana na ikitokea unampinga toa sababu za msingi sio kuandika hoja za kujipendekeza.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, lini utaacha kuwadanganya wananchi?

    Mbona maelezo mengi halafu umejaza mambo ya kusadikika hebu jaribu kua mweledi Kama ZZK ....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wasichana wakitoka ku'do nao huhadithiana kama wanaume?

    Mmh kuhadithia sio jambo la busara Ila kuna mazingira yanaeza kukulazimu kwa mfano demu wako aking'aka umle jicho wakati ww hutaki si utaomba ushauri kwa wadau? Ama unakuta mshikaji ndo anang'aka ale witi kwa demu?.....
  6. P

    JamiiForums Tanzania X-trial for sale

    Mmh huyu jamaa wa wapi? 20m used Nissan xtrail ? Hata ukpata 12m itakua bahati sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania TBS na TFDA ni majipu makubwa kuliko majipu yote humu nchini

    Hawa TBS ndo jipu kuu najiuliza huwa wanapima ubora gani Kama walishindwa dhibiti bidhaa feki zimetawala kila kona ya TZ..... Ujinga ujinga tu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria nimetapeliwa laptop

    Pole sana ndugu .... Hatua ya kwanza unatakiwa kumtafuta physically ili ujue nini kinaendelea ili kama amekutapeli akamatwe kwa mahojiano. Vilevile tunza Meseji za miamala na maelezo. Halafu jaribu kufatilia usije sema kakutapeli kumbe kapatwa na majanga
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wasichana wanaosagana wakifanya mapenzi na wanaume wanaweza kuridhika?

    Ukipga show vizuri anaridhika...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya private boarding DSM

    Shule za boarding nzuri zpo inategemea budget yako tu... Loyola sec, feza sec, alpha sec
  11. P

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’

    Hana lolote huyo amemiss kukunwa na sugu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

    Dah kweli jamaa amezngua.. Hapo inabidi akutumie ukiona anasema uende izo ni figisu... Pole sana
  13. P

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

    Tunatofautiana me nkikwambia njoo uchukue namaanisha so Kama utapenda kuliwa mzigo basi sawa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Tatizo ni kwamba wanaoneemeka na serikAli Aidha wanahofu kukosoa Ama ni wanFiki na hawapo tayari kutoa mchango wao kwa serikali isipokuwa kuisapoti kwa lolote
  15. P

    JamiiForums Tanzania Huduma za changudoa

    Natumia condom...no kiss no kuzama chumvini
Back
Top Bottom