Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

eeeeeee mungu ametenda yaaan lakin sio rahisi haswaaa tena linapokuja swala la hela lazima uwe na technics
Technics muhimu, unadhani utaomba tu kindezi upewe mmh. Hongera lakini, mvumilivu angalau Unakula mbivu sasa hivi. Kweli hela za wanaume ni tamu ila hadi uzipate unaweza kupitia magumu yasiyofikirika teh.
 
Unatakiwa uifate kwani ujuwi mitandao ya simu inafanya biashara na zina makato makubwa tu.......kama nauli kwenda kurudi ni 1000 kwa nini uwape faida mitandao ya simu wakate 5000 kwa pesa hiyohiyo
 
Tunatofautiana me nkikwambia njoo uchukue namaanisha so Kama utapenda kuliwa mzigo basi sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado una hiari yako pia...
maana wakati unasema hivo tayari wenye shida na pesa wako mjengoni!!!.
anaanzaje kungoja kulipwa na bwana....
thats not good bwana, kwani mara zote alizokupa ulimlipa nn? msaidie tu kama alivyokusaidia.
 
Tunatofautiana me nkikwambia njoo uchukue namaanisha so Kama utapenda kuliwa mzigo basi sawa
we mtu yupo kigoma mwingine dar alafu unamwambia aje achukue kweli? huoni huo ni unyanyasaji wa kijinsia!!!
 
habari zenu wapendwa

leo hebu niwaulize nyie wanaume, hii tabia mbaya mlioianza ya mkiombwa hela unajibu "njoo uchukue" badala ya kutuma tu mmeitoa wapi?

kama wewe ukiombwa hela unatuma tu basi na ubarikiwe sana, ila nyie mnaotaka zifuatwe mshindwe na mnyong'onyee.

NB; kila mwanaume na awe responsible kwa mpenzi wake bila kujali malipo, ndio uanaume huo.

Heaven Sent wewe pesa kwako ni bonus hivyo ole wako!!

muwe na jioni njema

Furaha yangu nikuone umeshika Hela nitakazokupa tu [emoji5]
 
hahahahahaha...... kutojiamini na uoga tuu. Mtu unaweza kuwa uba lengo zuri tuu la kusaidia ila akawa anajistukia mwenyewe
kama lengo ni zuri tu la kusaidia si utume tu.
 
Dah kweli jamaa amezngua.. Hapo inabidi akutumie ukiona anasema uende izo ni figisu... Pole sana
 
hakuna mzinga feki hata mmoja, yote ina maana yake, so we toa tu kila upatapo nafasi
Hehee!! Ntatoa endapo tu si golikipa na kweli ni maji ya shingo!! Otherwise ni kama ntaamua tu kutoa bila kuombwa...
 
hahaaaaaaa nimecheka saaana khaaaa maisha haya
ila mungu mwema kwa kweli alitenda
maaana hela ilikuwa haitumwi hata uwe na maralia lazima uifate na ukuni juu kushusha joto
Hahaaaaaa duuuh
 
thats not good bwana, kwani mara zote alizokupa ulimlipa nn? msaidie tu kama alivyokusaidia.
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
kama ulimlea nipe nikupe wala hasumbui
ila kama ulimlea kwa wema wa upande mmoja
kwamba akupee kwa tigopesa tuuu!!!
mtasumbuana...
ila kama kasema njoo fata nadhani habari unazo kuwa anataka mzigo sasa kuzungushana kwa nini.....
 
Back
Top Bottom