Hivi hawa nao Ni husband material

Muchaga

Member
Jun 8, 2016
60
28
Unakuta jamaa anamuimbia manzi kila siku kuhusu kutaka kumuoa.
Jamaa anagharamia bata zote lakini hayupo tayari kumsaidia demu ake katika shida muhimu ?

Ni kijiswali tu ?
 
Hiyo si sawa inabidi amhudumie mambo ya muhimu kuliko kula bata halafu demu anahitaji matumizi hapati. Lakini kuhusu kuoa ni uamuzi unaohitaji umakini sana kuna uwezekano kaona sio wife material.....
 
shida muhimu zipi? kwa maana usikute kila siku mdada unaomba upelekwe out ramada level 8 high spirit samak samak viwanja vyote unavijua na bado kesho unaamka kodi imeisha wakat jana uliomba upelekwe hayo maeneo hata mim sikupi
 
Unapenda kusaidiwa shida muhimu ili hiyo dhana yako ya husband material itimie wewe jiulize umemsaidia vingapi mana wengine mkishatupatia kikojoleo mnaona mmetutimizia kila kitu..
 
shida muhimu zipi? kwa maana usikute kila siku mdada unaomba upelekwe out ramada level 8 high spirit samak samak viwanja vyote unavijua na bado kesho unaamka kodi imeisha wakat jana uliomba upelekwe hayo maeneo hata mim sikupi
Una kuta manzi sio muombaji ila jamaa ndo anapendekeza viwanja mara nyingi.
 
Una kuta manzi sio muombaji ila jamaa ndo anapendekeza viwanja mara nyingi.
then kama jamaa ndio anapendekeza mwambie huyo binti akatae kwenda simply kuna shida nyengine za muhimu kuliko kwenda viwanja
 
Bata unataka na hela ya kutatua matatizo yako unataka? Chagua 1 kati ya bata au hela ya kutatua matatizo yako.
 
MIE MWANAMKE AKITAKA KODI YA PANGO HUWA NAMWABIA NJOO TUKAE WOTE CHA AJABU HUWA WANAKWEPA HILO
 
Nyakati hizi kuwa mseja kuna manufaa makubwa kuliko kuwa na mahusiano.....

Kutokana na viwango vya uaminifu kuporomoka miongoni mwetu maisha ya furaha na amani vimekuwa vitu adimu kwenye maisha ya mahusiano.......

Kila kukicha yanasikika ya watu walio kwenye mahusiano.....kila mmoja anamlalamikia mwenzie.....matukio ya kuvunjika kwa ndoa yamekuwa ya kawaida kuliko ukawaida wenyewe........walio na mioyo mepesi ya kuhimiri mikiki mikiki hiyo wamejikuta wakijitoa uhai na baadhi wamejikuta wako nyuma ya nondo huko kwenye majengo ya serikali baada ya kichukua maamuzi kulingana na uzito wa maumivu ya moyo.......na wengine wapo njia panda wasijue wachukue maamuzi gani....

Kwa kifupi maamuzi ya maisha ya kimahusiano kuna maanisha kuwa unajipa hukumu ya mateso ya moyo na mawazo yasiyo kwisha.....

NB; ITS BEAUTFULL FEELINGS TO FEEL LOVE......LOVE LOVE LOVE.......
 
Back
Top Bottom