dlnobby
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 2,514
- 3,347
Amani iwe kwenu waungwana
Nb.kama unatatizo la kutokwa na povu basi unaombwa upite kimya kimya kwakuwa hii inamuhusu zito kabwe na washauri wake.
Kama kichwa kinavojieleza nataka nikuulize kijana mwenzangu zitto kabwe maswali machache tuuu na ukipata mda waweza kujibu na nnajua upo katika hili jukwaa na usipo pata mda wa kuyasoma haya maswali yangu basi wale vijana wako ambao wapo humu watakufikishia ujumbe wangu na ushauri pia ntakao kupa kwa sku ya leo...
Bila kupoteza nguvu nyingi kuandika naomba uniambie mbunge nguvu yake kubwa ipo wapi? Je akiwa nje ya bunge au akiwa ndani ya bunge? Na kama ndani ya bunge kwanini unatupotezea mda wetu huku mtaani kwa kuanzisha story ambazo hazijengi nchi wala kutuongezea kipato chetu sisi wananchi wa hali ya chini na sasa umekuwa ukianzisha vijiwe vya kahawa huko mtaani ili tuu uwapotezee mda wananchi waache kufanya kazi wakusikilize wew na story zako zisizo kuwa na umuhimu katika maisha yetu.
Na kama nguvu kubwa ipo mtaani unaweza kutoa maelezo hiyo nguvu kwenye vijiwe vya kahawa inafanyanye kazi na kivipi wananchi wananufaika.
Swali jingine...mh zitto wew jimbo lako lipo mkoa gani? Hili swali linakuja kwakuwa vijiwe vyako vya kihuni unavipigia ukiwa kwenye jiji la makonda wakati huo jimbo lako lipo huko polini kigoma. Mh kama unapenda sana kupiga story mtaani basi tunaomba ukafungue kwenu kigoma yaan jimboni kwako na uache kutokwa mapovu kwenye majimbo ya watu wengine.
Swali jingine...mh zitto sheria inatungiwa wapi? Mh zitto napenda kukuuliza sheria inatungwa wapi na watu gani?kama wabunge ndo wahusika kwanini wew unadai democrasia ukiwa nje ya bunge wakati ukweli nikuwa ndani ya bunge ndipo unakuwa na nguvu zaidi ya kudai hayo unayoyataka na sasa unatupigia kelele huku mtaani ukitaka vitu visivyo wezekana na sehemu isiyo sahihi?
Nijibu na hili...kongamano la bajeti na wew mbunge si mawazo yako yalitakiwa yasikike mbele ya waziri ili ayafanyie kazi lakini wew kwa kutaka sifa za kijanga umekuja mtaani Je waziri atakusikia ukiwa huko kwenye vijiwe vya kahawa na je bajeti itashindwa kupita kwa mawazo yako yakwenye kahawa?
Mh zitto ni bora ukawapa wabunge wenzako hayo mawazo unayoyadai kuwa mazuri wakayapeleke bungeni ili yasikilizwe kuliko kutafuta sifa kwenye majimbo ya wenzako.
Na kwakumalizia tu mh zitto 2020 bado sana kama unajiandaa na urais basi yakupasa uwe mpole kwakuwa safari bado ndefu wananchi watakuchoka kwa hizi sifa zako zisizo kuwa na faida kwao...
Note
Povu halitakusaidia kitu ewe mchangiaji.