X-trial for sale

X-trial for sale

Mmh huyu jamaa wa wapi? 20m used Nissan xtrail ? Hata ukpata 12m itakua bahati sana
 
Hiyo angetangaza kuanzia 10-14m atleast ungeshaanza kuona Pm yako inajaa lakini kwa 20m ni MSIBA
 
hyo gar yaweza kuwa inatumia betri aina ya BL 5C ya nokia maana 20m mbal kwel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom