Sijui kijijini kwenu ni wapi lakini mimi ningefanya hivi;
1. Ningenunua mbuzi wadogo niwe na fuga kwa kumuajiri mtu najua kijijini hii sio ghali, kwa miaka miwili uwezekano wa kua na mbuzi wengi zaidi ni mkubwa.
2. Ningenunua pikipiki naitumia kwendea chuo na muda usio wa masomo nabeba abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.