Msaada Lugha ya Kifaransa

Msaada Lugha ya Kifaransa

Je suis content de ton assistance. Aider, assister, faciliter et autres n’ont que presque une sense similaire.mais avec un peu de difference
Ton long sentense, je ne comprend pas. C'est mon time to learn french.....je suis jeune sur ce.
 
Ton long sentense, je ne comprend pas. C'est mon time to learn french.....je suis jeune sur ce.
Tu vas comprendre. Wewe anza walau na miziki, angalia mashaili yake, tumia google translator. Hapo utapata angalau mwanga wa nini kinachoongelewa. Angalia badhi ya masomo ya kifaransa, online yapo. Utajifunza matamshi na maandishi, hasa hizo alama unazoziona kwenye badhi ya letters. Ukikosea kidogo kwenye maandishi,anaekijua ataelewa ulitaka kuandika nini, asiejua atapotea. Hapo ni matumizi ya keyborad pia. Kwa watumiaji wa laptops, zisizo na numeric pad, hapo kunakuwa na kachangamoto. Kitu kingine sasa, utabaki na zoezi la kuongea. Unaweza ujue kuandika lakini kuongea ikawa shida. na kama ilivyo kwa kingeleza, cha kibongo utasikia kila kitu, cha kimarekani utapotea, na wanachoongea ni kile kile, hata kwa kifaransa ni hivo hivo. Bila kuongea, ni ngumu kidogo
 
Kifaransa cha nn mkuu soma kisukuma tuuu
Tatizo ndo linaazia hapa sasa. Kama hupendi kitu, hata mwanao huwezi msaidia kukipenda. Fursa tunazitafuta sisi, hazitutafuti. Hivi, fikilia, mtu alieko Arusha, guide, anaeongea Kifaransa. Utamlinganisha na asieongea? Unadhani mfaransa akija Bongo, atapata msaada kama ilivyo kwa muingeleza? Kiiengeleza utaunga unga lakini utaeleweka tu. Kwa sababu unahitaji chochote kutoka kwa yule anaeongea. Lugha ni mhimu sana kaka. Wengine tumejifunza zenu, ili tuweze kuwasiliana na nyie kirahisi.

Mwanao unajua atakua nini? Kama balozi? kama atahitaji kufanya kazi na watu wanaotumia kifaransa? Let the sky be the limit
 
Merci, j'utilise Duolingo app. Trois mois maintenant. Nitumie njia ngani nyingine mkuu
 
Merci, j'utilise Duolingo app. Trois mois maintenant. Nitumie njia ngani nyingine mkuu
Kwanza hakikisha unampata hata rafiki anaejua. Kwa sababu, kwenye translation, haitakuwa acculate 100%. Huwezi tafsili lugha kwenda lugha nyingine. Kuna masomo ya kifaransa, yapo online. Angalia miziki kifaransa, hata uanze na ya mapenzi. Tafuta mashaili yake na yatafutie maana. Mi kiswahili nimejifunzia movie na magazeti. Nakusanya maneno nakuja kuuliza badae. Kupata watu wa kuongea nao, pia ilisaidia. Pale napokuwa na kosa, wananisahihisha.
 
Nashukuru kwa ushauri wako. Mimi bado niko hatua za awali kabisa baada ya 6months nitakuwa nimeshakuza msamiati na muundo kwa sehemu kubwa. Nimejiwekea nitaanza kusoma magazeti na kusikiliza tv.

Kwa sasa hata nikisikiliza najikuta kila kitu sijui. Nimeona haitanisaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom