Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Juzi niliangalia game ila sikutoa recommendation hapa. Ukweli tulishinda ila mpira wetu bado si tishio kabisa. Hatuna structure ya kushambulia, build up pia haipo.

Kidogo alivyongezeka modric ndio nikaona kiasi chake tunauwezo ata wa kuzunguka 18 ya mchezaji.

Timu bado sana
 
Binafsi, sikufanikiwa kuangalia game yetu, niliangalia highlight tu kidogo, hata hivyo sikuridhishwa na nilichokiona, kuna shida niliiona, na ni hii ya kutokuwa na kiongozi, kwa muda mrefu sana tumekuwa na tendency ya kumtengenezea mfungaji wetu nafasi za ufungaji, ila nilichokiona pre season hatuna huyo mtu kwa sasa., imekuwa ni vurugu tu mtu anapofika na mpira ndani ya eneo la hatari ya team pinzani.
Vinicius akifika anapiga, haangalii kama kuna mwenzie aliye sehemu nzuri zaidi ama laa, Bellingham na yeye anataka kuonyesha umwamba., Rodrygo pekee ninaona anajaribu hata kucheck wenzie.

Sasa ni muda sasa wa Ancelloti kuamua ni nani atakuwa mfungaji wetu, ili sasa team ifocus kumtengenezea nafasi kama tulivyofanya kwa akina Cristiano na wenzie huko nyuma., hapo ndipo tutaona uelekeo wa team, laa sivyo hizi vurugu pale mbele hazitaisha.
 
Kwa jude nakupinga, kiasi ndio mchezaji aliyeonesha uhai na umakini, alikua anafanya tackle,ana hold mpira ana beba mpira kwenda mbele. Ufanisi wake ulikua 80% ya game.

Kweli vini hana utulivu wenge ni jingi. Nafikiri bado ana ule woga na haraka ya kufikia alichokifanya msimu ulioisha.

Wala hatukuua na tendecy ya kumtengenezea mfungaji mmoja. Kila game ina approach yake unapokua na joseleu mbele huwezi cheza kama ukiwa na vin au rodrygo. Utaitaji zaidi upige mipira ya juu maana height na efficiency vinambeba.

Changamoto bado iko kwenye coaching staff. Kinaitajika kufanyika kitu kikubwa.
 
Binafsi, sikufanikiwa kuangalia game yetu, niliangalia highlight tu kidogo, hata hivyo sikuridhishwa na nilichokiona, kuna shida niliiona, na ni hii ya kutokuwa na kiongozi, kwa muda mrefu sana tumekuwa na tendency ya kumtengenezea mfungaji wetu nafasi za ufungaji, ila nilichokiona pre season hatuna huyo mtu kwa sasa., imekuwa ni vurugu tu mtu anapofika na mpira ndani ya eneo la hatari ya team pinzani.
Vinicius akifika anapiga, haangalii kama kuna mwenzie aliye sehemu nzuri zaidi ama laa, Bellingham na yeye anataka kuonyesha umwamba., Rodrygo pekee ninaona anajaribu hata kucheck wenzie.

Sasa ni muda sasa wa Ancelloti kuamua ni nani atakuwa mfungaji wetu, ili sasa team ifocus kumtengenezea nafasi kama tulivyofanya kwa akina Cristiano na wenzie huko nyuma., hapo ndipo tutaona uelekeo wa team, laa sivyo hizi vurugu pale mbele hazitaisha.
Vin ana umachachari mwingi ila anapoingia kwenye 18 anakuwa siyo hatar...huwez kumpa hata 20% yakufunga goli akiingia kwenye 18...nakubaliana na wewe,ni either kocha abadilike au kocha aondoke yeye maana huu mfumo ni kila mtu anajichezea hakuna timu ila tuna wachezaji..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Nilidhani angejirekebisha baada ya kufanya mambo hayo pre season ila bado hali ni ile ile., ni muda sasa Ancelloti kumwelekeza kijana kitu cha kufanya anapokuwa kwenye box la team pinzani.
Siamini kama vini ni mchezaji wa kuelekezwa kitu cha kufanya uwanjani kulingana na wakati.
Aletewe Rafael Leao ajifunze
 
1692462325566.png
 
Yah leo tupo uwanjani ugenini kucheza mchezo wa pili. Pasi na shaka leo ushindi ni muhimu ili kuendelea kuboost confidence ya timu.

Kila la kheri.
Game ni saa mbili na nusu usiku
Naam naam, baada ya kukosa mechi zetu nyingi, leo nipo tayari kuwashuhudia tena vijana wakisakata gozi, Tumaini ni moja tu., Ushindi
#HalaMadrid¡¡
 
Bado team haijachanganya ila kuna vitu ninaviona vizuri, upande wa kulia kuna maelewano mazuri kati ya Carvajal na Rodrygo, kati kati Toni anacheza vizuri sana na Tchouameni, Valverde ndio bado hajasomeka, huyu Fran ni mzuri sana kwenye kushambulia na ana speed nzuri tu, anaingia ndani ninadhani anajaribu kumtengenezea Vinicius nafasi kwenye wing, shida bado hawajaelewana kwenye mikimbio yao
 
Back
Top Bottom