Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

Sa hivi nina kiasi fulani nataka nikut*mbe au lugha yoyote nzuri utakayoona inafaa nenda straight mademu wenyewe wanawinda siku hizi, nyege zimekuwa nyingi sanaaa
Hii niliwahi kuitumia kipindi fulani kwenye bodaboda ya kuchangia.

Alikuja bodaboda amepakia demu, anatafuta abiria mwingine, mie chap nikapanda safari ikaanza.

Tukiwa njiani nikaanza kuusoma mchezo kama demu anajuana na dereva wa boda.

Nilipohakikisha ni abiria tu kama mimi, nikamnong'oneza "dada shepu lako limenivutia, kama hautojali natamani nilione live ukiwa uchi wa mnyama nitakupa 15k na Lodge nitalipia"

Akajibaraguza paleeee ila mwishowe akanijibu "ila mie silali mpaka asubuhi, nyumbani kwetu ni wakali sana"

Chap chap nikamwambia bodaboda atushushe, aliposimama akashangaa mimi ndio nalipa nauli yangu na ya demu halafu haooo tukasepa.

Akabaki ametoa mimacho kama mjusi aliebanwa na mlango

Mbeleni demu ananiambia eti bodaboda nae alikua anamtongoza.
 
Sa hivi nina kiasi fulani nataka nikut*mbe au lugha yoyote nzuri utakayoona inafaa nenda straight mademu wenyewe wanawinda siku hizi, nyege zimekuwa nyingi sanaaa
Hiyo sasa mishangazi na barmaids
 
yeah, upo fresh mulemul ku mute, muhimu usiheleweke pia,jitahidi kujuwa udhaifu wake huyo mrembo.
Mfano
1/Upendelea vitu gan music, movies,kusoma vitabu, church girl.
2/Kujuwa hisia zake,sehem za mwili
3/Mwanamke kama mtoto,msikilize hap uwongo uwe mwing,mtunze,msamini,pia mpe mda.
4/Tafuta hela maan vyote apo juuu bila hela uwezi kuvitimiza.
 
Hiyo sasa mishangazi na barmaids
Haijalishi demu ni sister duu, pisi kali, mshangazi au hata mwanafunzi

Sasa demu unataka kupiga na kusepa, uanze kujisumbua kutongoza ya nini?

Mara maua, mara kupigiana simu mara vi text vya umekula??

Huoni kama hapo unatengeneza mazingira ya gharama zisizo za lazima??

Go straight to the point, hata akikataa inakua win win situation maana hajala hata tsh mia yako.

Otherwise labda kama unatongoza wa kuoa.
 
Sasa demu unataka kupiga na kusema, uanze kujisumbua kutongoza ya nini?

Mara maua, mara kupigiana simu mara vi text vya umekula??

Huoni kama hapo unatengeneza mazingira ya gharama zisizo za lazima??

Otherwise labda kama unatongoza wa kuoa.
Hapa unatongoza wa kuoa au wa kujiservia
 
Nilitaka niseme huyu karuka fence kumbe shule zimefungwa. Tafuta hela wenyewe watakutongoza bro yaani ukiwa na mshiko unamwambia tu twende tukanywe soda pale mambo tayari
Unaweza kuwa nazo lakini ukawa kama Nick wa pili
 
Unaweza kuwa nazo lakini ukawa kama Nick wa pili
labda kama mashne haistart ndugu. Na kwanza madem wa siku hizi hawataki mtu wa kuwatongoza na maneno makavu sio kama zamani mtoto wa kike alikuwa anaimbishwa njiani anachimba shimo la kuangusha walevi njiani tena kwa kutumia kijiti tu shimo futi 3. Wa sku hizi unamuuliza tu kuwa kweli unavaa chupi yeye anakujibu twende uone mwenyewe mambo kwisha.
 
Hakikisha una PESA ambazo zinaweza zikapandisha Aura yako

Kuanzia kuongea , kuvaa na kutembea

Then ndo uingie step ya pili ya Scarcity.

Na njia ya uhakika ya ku-win moyo wa MTU ni kumjali kwakuwa mahusiano kwa nchi zetu za kibantu ni win win situation zaidi , if you have nothing to bring on the table no LOVE anymore.
 
Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.

Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)

Hayae twende sawa;

Jimmy: Mambo vipi mrembo

Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa

Jimmy: Niko poa tu mrembo

Suzzy; Basi fresh

Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza

Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi

Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe

Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida

Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote

Suzzy; Ahsante

Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali

Suzzy; Hayae 0769XXXXX8

Jimmy; Ahsante Suzzy

Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick

Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
... pole sana! ... Suzzie wa Gen-Z atakuambia hana simu, na hata hiyo unayomuona nayo kaazima kwa shangazi na ameweka laini yake kwa muda tu! ... haya jifanye mwamba ununue simu igeuke 'launcher' ya hypersonic missiles ikiwa ni pamoja na ile ya 'ninatakiwa kulipia pango la mwaka mzima'! .......!
😅
 
Makubwa...leo kina Ushimen wanafundishwa kutongoza na kijana wa afmbili
IMG-20260625-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom