Mwanangu...mechi zakuangalia huku umebinya zaga ndio hizi sasa.Daaah, hatimae yaani
Boya yule Ceballos ametuuza, dakika za usiku sanaaManinaa tumewekwa.
Hii timu ukishamchezesha Mbappe na Vin kwa pamoja hapo tayar tupo pungufu,maana wote hao ni abiria...halafu hapa nyuma acheze Ceballos ambaye ni average player mchezaji hewa ndio kabisaa na huku nyuma sasa awepo huyu mtoto Ansencio anayejiona ni Ramos wakati ni Maguire tena yule wakubahatisha..ndio kabisaa,tunakuwa tunakatika mbaya kabisa..Mbappe ametunyima ushindi yaani, kama hajui umuhimu tulionao
FT: Osasuna 2-1 Real Madrid
Timu imejaa average players wengi, ukija kwa mbape ni kama anawaza tuzo binafsi sana kuliko maslahi ya timu leo kazingua sanaBoya yule Ceballos ametuuza, dakika za usiku sanaa