Yani kabisa unaamini kuwa wachezaji sio shida? striker tegemea wa timu ametokea Espanyola, Left back wa timu sijui hata ameokotwa wapi, Alaba alishaagwa Bayern ndio beki tegemeo wa timu, kuna Lord Mendi hazungumziki, Kroos na Modric ni senior citizens ambao bado wanaendelea kuwa tegemeo kwenye timu. Carvajal, MIlitao, Valverde, Rodrigo, team ni full of average players ambao munajidanganya ni world class, hapo hatujamgusa Jude ambae huwezi kumtaja hata kwenye 3 key players wa England lakini Madrid anaonekwanwa ndio Star Player.