Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,489
Jamaa huwa wana intensity ya hali ya juu kweli kweli., msimu uliopita walitufunga pale kwao., ila this time ninaona ile uoga wa kuwa hatuna beki wa kati imetusaidia team kukaba kwa ushirikiano.Jamaa walituvuruga sana, individual brilliance ndio imetuokoa, ila team wise jamaa walikua na intensity kubwa sana..