Dr Ponjo (Mponjoli ) alikuwa smart sana kawabamiza sana wazungu kwenye magari ya kifahari. Ingekuwa kizazi hiki cha mitandao chawa wengi wangekuwa wanampigia yowe za kuokota pesa,miaka ile alikuwa analeta bongo gari za kifahari
Hizo Electric truck labda ufanye kazi za town trip na local. Ukifanya transit hiyo gari iende kasumbalesa,Bukavu au Kolwezi ikakae foleni ya miezi 2 au 3. Foleni za border,kushusha,kupakia,kusubiri documents hiyo pesa ya kusave mafuta itakuwa hujafanya lolote.
Bongo anaweza kuleta Blue Coast na Coca-Cola kwa delivery za Bia na soda mikoa ya karibu. Tayari wana Scania na Chinese trucks zenye CNG system hizo EV zitawafaa kwa delivery za town.
Kuna watoto wa kike hawajui biashara na utaalamu wa biashara ya maroli. GSM kuna gari ambazo zilikuwa zimefanya transit muda au town trip GSM huwa anawauzia jamaa na ndugu wa karibu na zinatumia brand ile ile na kazi jamaa anazo kibao. Kwa town trip 1 gari moja uhakika wa kulaza 600k mpk 1m upo...
Ukiwa karibu na GSM na ukawa na akili ya biashara jamaa hana roho ya kukunja anawasaidia wadau wake wa karibu kwa kuwapa tenda kwenye biashara na network za maana.
Huyu Mzee Merey fujo zake miaka ile kungekuwa na mitandao kama sasa ingekuwa balaa.
Kipindi kile hata mafundi wake wa Magari pale TIOT Tabata walikuwa wana jeuri sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.