Board ya Prado TX

Board ya Prado TX

MBOKA NA BISO

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
664
Reaction score
789
Jamani, naulizia wapi wanauza bodi za Landcruiser,specificary Prado TX.

Nimeambiwa Mchikichini, ila kila nikiuliza naambiwa hiyo sehemu hakuna wauzaji wa hivi vitu.

Na binafsi sipajui.

Naomba mwenye uzoefu anijuze
 
Nenda tandale, pita habarabara ya tandale uzuri, kuna yard za kutosha hiyo njia kunazia magomeni mpaka sinza
 
Back
Top Bottom