Hao ni wale wanaishi usukumani unakuta yamezaliana so watoto wanakuwa fluent ila mila zao zinawaponzaAcha mambo yako bwana unadhani sisi hatujui lafudhi za watu?
Shenjiii Jake ghete wasukuma hatuna ujinga wa namna hio sisiKwahiyo Khantwe unawaogopa wamasai na hizo fimbo zao ndio unawasingizia wasukuma? 😀😀
Acha uzushi mkuuWeee huniambii kitu 😁😁 zamani walikuwa wananichanganya ila baada ya kupitapita kwenye jamii za wasukuma hunidanganyi
Viboko vikitembea, watapata akili tuuKwa mtindo huu si bora tu tubaki na Zanzibar watustaarabishe Watanganyika mkuu😁 ?
Wewe unautani na wasukuma tuu, ila for your information tunajifahamu bwanaWacha kujitetea bwana
... hujawahi kuona mshindi wa 'Miss World' analia?Sasa mbona huyo hapo anagombewa na analia
Kwahiyo siku hizi wasukuma wanavaa mashuka?Weee huniambii kitu 😁😁 zamani walikuwa wananichanganya ila baada ya kupitapita kwenye jamii za wasukuma hunidanganyi