Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,882
- 67,309
Hpo parachichi asee
Hakuna sharubati😋Umekula nini mchana?
Half american ndizi zimetosha wabadirishie watoto chakula
View attachment 3636630
Hakuna njoo utengenezeHakuna sharubati😋
Unataka ya nini MwachiHakuna njoo utengeneze
HakunaHakuna sharubati😋
kwani kazi yake nini ? 😂Unataka ya nini Mwachi
Kulainisha kooHakuna
kwani kazi yake nini ? 😂
😂😂😂Kulainisha koo
Hukua unajua?
Mambo fireeeWiki hii imebidi nikumbushie kupika vijana wa Gen Z walijua hatuwezi kazi za jiko wanalalamika wanaona kupika adhabu. Kwenye vitafunwa inabidi nipitie nyuzi zako sije nikaharibuView attachment 3647933View attachment 3647934