realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,371
- 18,794
Thubutu 😜.Za kienyeji
Mbegu za kienyeji uwe nazo wewe.
We endelea tu kuzalisha.
Thubutu 😜.Za kienyeji
Nguvu kazi zinahitaji zije kuwekeza kwenye ujenzi wa viwandaThubutu 😜.
Mbegu za kienyeji uwe nazo wewe.
We endelea tu kuzalisha.
Viwanda gani tena 😝Nguvu kazi zinahitaji zije kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda
Viwanda gani tena 😝
Au vidogo vidogo vya kuatamishia Mayai.
Yaani ekari 10 ndiyo pori hilo? Halafu umetujazia mapiga kura yasiyokuwa na akili ndiyo hayo yanakuja kutusumbua!Ndio maana nataka niwatafutie pori, watakao oa au kuolewa wakae ndani ya hiyo pori (empire). Muhimu nikigeuka kulia na kushoto,nione uzao wangu.
Kwa staili ya kutembeza dyudyu kila shimo sidhani kama yupo wa kukujali. Andaa vizuri mafao yako ya uzeen otherwise your old age won't be prettyUzee unaitaji faraja kutoka kwa uzao wako, kama uzao wako hautakufariji ata kwa maneno mazuri, utahisi dunia ni jehanamu
Ili ufike 50+ na mkeo asijue, inabidi uwe msiri sanaa na mkeo asiwe mjanja kwa namna yoyote..Ikitokea ukawa na watoto nje, mapenzi au mahusiano na mama zao inabidi usitishe kwa afya ya akili, na nguvu nyingi ipeleke kwenye malezi ya watoto.
Mke wa ndoa utamjulisha una watoto nje, pale mtakapofikia miaka 50+, tunaamini umri huo ni umri uliojaa busara.
Najua na yeye atakupongeza kwa kuwa kidume sahihi.
Asante mkuu, umekiwasilisha vyema kile nilichokuwa nakiwaza. Ukiwa na pesa walau watajisogeza na kujifanya kukupenda ili wapate gawio la urithi ila watakuwa wanakuangalia kwa jicho la 'huyu mzee anaondoka lini'?Watoto wa ndani (emotionally and mentally distressed)
Watoto wa nje (trauma bearers)
Mbaya zaidi wazazi huwa wanawaangalia wake au waume zao na kuhisi watoto hawajali, hawaumii au hawaon fedheha.
Kwa sababu ya heshima, adabu na utegemezi hutoona wanavyohisi juu yako. Ila wakishatoka na kuanza maisha yao ndio wanafumua kucha
Ila kwa wengi hawezi kukosa besties ila bado kuwa ignored na wengi. Lazma uhisi guilty
Tunaishi mara moja, unatakiwa uache alama dunianiEh... nishapotea njia tayari, hapa hapanihusu...
Utajisikiaje una miaka 60+ huku umezungukwa na vijana wako wote 20, wa mwisho akiwa na miaka 20+? Na wote wakiwa na afya njema.Asante mkuu, umekiwasilisha vyema kile nilichokuwa nakiwaza. Ukiwa na pesa walau watajisogeza na kujifanya kukupenda ili wapate gawio la urithi ila watakuwa wanakuangalia kwa jicho la 'huyu mzee anaondoka lini'?
Utajisikiaje una miaka 60+ huku umezungukwa na vijana wako wote 20, wa mwisho akiwa na miaka 20+? Na wote wakiwa na afya njema.Ili ufike 50+ na mkeo asijue, inabidi uwe msiri sanaa na mkeo asiwe mjanja kwa namna yoyote..
Nilichojua wewe ni traditional man, bado una misimamo na mitazamo ya kiasili. Natumai mkeo ni traditional woman pia ili hesabu zako zikae dawa
Hata hivyo hongera king mswati 😁🙏🏽
Utajisikiaje una miaka 60+ huku umezungukwa na vijana wako wote 20, wa mwisho akiwa na miaka 20+? Na wote wakiwa na afya njema.Yaani ekari 10 ndiyo pori hilo? Halafu umetujazia mapiga kura yasiyokuwa na akili ndiyo hayo yanakuja kutusumbua!
Utaniwakilisha hata wewe tu mkuu¡Tunaishi mara moja, unatakiwa uache alama duniani
Maandiko yanasema, nendeni mkaijaze dunia; Adam na Hawa wasingefanya yale mambo, tusingekuwepo duniani.Unajaza dunia
Endeleza ukooUtaniwakilisha hata wewe tu mkuu¡
kumpata wa kuendeleza... Naye sasa ndio kazi..Endeleza ukoo
Utajisikiaje una miaka 60+ huku umezungukwa na vijana wako wote 20, wa mwisho akiwa na miaka 20+? Na wote wakiwa na afya njema.