watu wanaongea kwasababu ametajwa Dr Dau! Unachoongea si cha kweli, mimi nimekaa bweni na nimefundisha hiyo shule kwa muda zaidi ya miezi 3, nimeona wanaffunzi kutoka sehemu mbalimbali, ikiwemo kanga, Kirongwe, banja, na hata chemchem! Kulikuwepo na wanafunzi kutoka utende, chole na jibondo! Huo...