Habari za kusikitisha mzumbe university

Oya Vipi wewe? unaenda kusoma au unaenda kulala?? eleza issue ya madarasa na si kulala!
 
Kuna vitanda vya kubebana nilienda mtembelea dogo wakati anakamua miaka ya 90 mbona vile vitanda ni 6 by 3 au 2 kama sikosei
Unless kama kulala itakuwa kwa zamu
Ndo maisha bora kwa kila mtanzania hayo,serikali iko bize na kukusanya ela za kuwalipa Dowans
 
mbona kubebana ni jambo la kawaida tu....uliza udsm, huko hakuna haja ya viongozi kuomba mbebane...ni suala ambalo ni automatic, ukipata rum, asiye na rum anakutafuta unampa nusu bed...life goes on!!!!!
kama ni issue ya magonjwa, kwani kwenu hamjawahikulala zaidi ya mmoja kwenye bed moja? mliambukizana magonjwa?

nililala chini mwaka mzima,(mwaka jana),hall two
 
India hali ni mbaya kuliko hapa Bongo! Kuna vyuo huwezi kukaa hata week 1 unarudi TZ
 
labda wanapromoti mapenzi ya jinsia moja! imagine midume mizima inabebana...halafu kwenye vitanda vidogo vile..what do u expect?

wewe ukilala na mwanaume kitanda kimoja lazima ugawe masaburi yako hayo?
 
. . . Mr Mzumbe??! Umepataje hilo jina kama ndo kwanza umejoin juzi juzi??! Well, incase ulizoea (huko ulikotoka) kulala peke yako, habri ndo hiyo dogo, kulala 'mtungo' 1st year kawaida sana,...hiyo issue haijaanza mwaka huu since years ago, miaka 4 sasa. . . .just share na wenzako,au kama mzazi ako yuko na pesa ndefu akupangishe Lumumba, utalala pekeyako.
 
Habairi zenu ndugu wapendwa wa jf,
Nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha wasiwasi zaidi ni kwamba tcu wameleta wanafunzi wengi sana ambao hawapo proportion na accomodation za chuo.Mpaka sasa wanafunzi zaidi ya mia 4 hawana makazi na kupelekea viongozi wa MUSO na kKupelekea viongozi kupita room mpaka room kuomba tubebane ili angalau tuweze kukizi maitaji.
Kwa mazingira ya MU mtu wa kawaida huwezi kupanga nje ya chuo kwasababu gharama ni kubwa sana<wanachaji elfu tano kwa siku>.HALI ni tete sana kwani chumba kimoja kina vitanda vi 3 ambavyo ni doubledeck kwa sasa tunalala kitanda ki1 watu wa 2 thus ni hatari sana kwa afya yetu.
Sababu wanazozitoa chuo ni za msingi sana kwani wanaeleza kama vigezo vingezingatiwa watu mbalimbali wasingekuwepo.

wewe bwana mdogo tulia usome, kusema hapo mnabanana ni sawa na kutukana watu tuliosoma mlimani, hapo ni shuleni ukitaka kujiachia nenda kwenu...mlitaka watoto wa wakulima wasisome?? manake mzumbe huwapa kipaumbele private candidate zaidi kuliko wa st. kayumba a.k.a helsb
 
Welcome to higher education dogo!! Wenzako ndo tulipotoka huko piga shule acha kulia ndo hali halisi hiyo......
 
mbona kubebana ni jambo la kawaida tu....uliza udsm, huko hakuna haja ya viongozi kuomba mbebane...ni suala ambalo ni automatic, ukipata rum, asiye na rum anakutafuta unampa nusu bed...life goes on!!!!!
kama ni issue ya magonjwa, kwani kwenu hamjawahikulala zaidi ya mmoja kwenye bed moja? mliambukizana magonjwa?

mi namshangaa nimesoma udsm kinachojiita chuo cha maana tz nilipata chumba first year 2,mpaka namaliza miaka minne ni kubebana 2 tena mnabebana kwa pesa uliyonayo,kuna v2 vingi sana vya kuboresha
 
habairi zenu ndugu wapendwa wa jf,
nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha wasiwasi zaidi ni kwamba tcu wameleta wanafunzi wengi sana ambao hawapo proportion na accomodation za chuo.mpaka sasa wanafunzi zaidi ya mia 4 hawana makazi na kupelekea viongozi wa muso na kkupelekea viongozi kupita room mpaka room kuomba tubebane ili angalau tuweze kukizi maitaji.
Kwa mazingira ya mu mtu wa kawaida huwezi kupanga nje ya chuo kwasababu gharama ni kubwa sana<wanachaji elfu tano kwa siku>.hali ni tete sana kwani chumba kimoja kina vitanda vi 3 ambavyo ni doubledeck kwa sasa tunalala kitanda ki1 watu wa 2 thus ni hatari sana kwa afya yetu.
Sababu wanazozitoa chuo ni za msingi sana kwani wanaeleza kama vigezo vingezingatiwa watu mbalimbali wasingekuwepo.

weeeeeeeee afyaaaa gani unaongeleaaaaaaa tumelala udsm 99 mpaka 2002 kitanda watu wawili na wakati mwingine wanalazwa chini afya gan unaiongelea ...ungetaka chako pekeyako ungeenda kulala vya 5000 mpwa akugusi mtu
hapo nahisi utaathirika na deo maana kila ukitaka kuleta mlupo unahisi ndani kuna mtu na nje 5000 si mchezo mpwa
nafikiri hii itasaidia kuondoa ngono zembe zilizokuwa zinaongrzeka vyumbani bila akili!! Ama mkubaliane kupiga mizigo kwa pamoja nikupe njia ila usiniweke kwenye weak leak weka pazia katikati mnakula mzigo kam kawa tatizo mmoja akizidiwa unajua kuna mademu ukiwachapa vizuri wanapepo la kukimbia ovyo hapo ndipo shuguli akimfwata mwenzio na wewe chukua wake
 
We dogo ka vp soma day,uwe unaenda na kurudishwa na helcopter daily.
 
habairi zenu ndugu wapendwa wa jf,
nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha wasiwasi zaidi ni kwamba tcu wameleta wanafunzi wengi sana ambao hawapo proportion na accomodation za chuo.mpaka sasa wanafunzi zaidi ya mia 4 hawana makazi na kupelekea viongozi wa muso na kkupelekea viongozi kupita room mpaka room kuomba tubebane ili angalau tuweze kukizi maitaji.
Kwa mazingira ya mu mtu wa kawaida huwezi kupanga nje ya chuo kwasababu gharama ni kubwa sana<wanachaji elfu tano kwa siku>.hali ni tete sana kwani chumba kimoja kina vitanda vi 3 ambavyo ni doubledeck kwa sasa tunalala kitanda ki1 watu wa 2 thus ni hatari sana kwa afya yetu.
Sababu wanazozitoa chuo ni za msingi sana kwani wanaeleza kama vigezo vingezingatiwa watu mbalimbali wasingekuwepo.

ulipataje hiko chuo matokeo yanaruhusu kweliii ama ndio yale mambo yetu!!!
 
LIFE IS A BIG JOKE!!
Hii hali imekuwepo kwa miaka mingi,na nashangaa kuona watu waliopitia matatizo kama hayo bado wanashabikia yaendelee ili na wadogo zao wapate tabu kama wao!Hivi hii elimu inatupeleka wapi kama hawa wasomi wetu hawataki kusaidi jamii yetu kutatua matatizo kama haya?!Mnasifia shida wana JF!Khaaa,eti great thinkers,thinking inside the box!Bure kabisaa
 
labda wanapromoti mapenzi ya jinsia moja! imagine midume mizima inabebana...halafu kwenye vitanda vidogo vile..what do u expect?

wakati mwingine huwa najiuliza kama unafikiri kwa kutumia fore brain au hip joint(mahips)? huwa sikusomi kabisa!
 
Kuubebana mbona poa tu!!
Sema tu sijaelewa huyo bedmate wako nae analipia accomodation kwa chuo, bure au anakudakisha wewe.
Kama anakudakisha hiyo ni normal tu, ndivyo tulivyosoma hata sisi kaka zenu enzi zetu,
Vumilia kijana
 
Back
Top Bottom