Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Nyerere alijenga Nchi na kulinda thamani ya shilingi, Mwinyi akabomao nchi na kuporomosha shilingi. Akaja Mkapa akajenga uchumi na kuzuia mfumuko wa bei, Kikwete kabomoa uchumi na kuruhusu mfumuko wa bei kwenda kasi kama maji ya mvua na shilingi leo ni 1850. Sasa kuna haja gani tena rais ajaye atoke upande huo?
 
hafai kua Raisi wa Jamhuri labda awe Rais wa Zanzibar.!
 
Aliweza Kuunguza TSH 50,000,000/- New Africa Hotel kwa mwezi kwa zaidi ya Miezi sita (Sema jumla ya tzs 300,000,000 kwa miezi sita) Bila ya Huruma wala kujua kuwa kuna hata watoto kwenye shule zao Hawana hata Matundu ya choo achilia mbali madawati!! Sasa Akipewa Urahisi si Atakwenda kuishi Marekani huku akiongoza nchi kwa Simu!! Ubora wa kiongozi ni Matendo yake hata kama system Haifanya Kazi Vizuri!! Nawasilisha
 
Ukweli kiongozi Kama Nahodha ni Lulu iliyojificha na kama atakuwa Raisi Tanzania tuitakayo itapatikana watanzania Tuamke Tukipata Rais kuwa Nahodha waziri Mkuu Magufuli Tanzania isiyo namakundi na yenye kujali Wananchi inawezekana.

Mkuu ni shemeji yako au kaku...................... ? Siono la maana alolifanya sikwambii hapo alipo sasa hvi hata huku zenji bora Punda anathaminiwa kuliko kiburi huyo.

Kuwa na akili ukiongea bana !
 
Kimildizo uliposema kuwa kuna maana gani rais kutoka upande huo ulimaanisha Zanzibar?

Km ulimaanisha Zanzibar itabidi nkupe pole mana waznz tunashkuru hawa ma rais tuliokuwa nao hawana migodi ya makaa ya mawe wkt watu wankufa na njaa, hawajapeleka jeshi pemba kuua watu ovyo km bosi wa ukweli na uwazi alivofanya, hatujawahi kuwa na dictator aliekosa huruma na aliekuwa mbaguzi km jamaa mmoja aloleta stori za wazanzibari na wazanzibara!! Sasa sijui kiongozi atoke pande ipi ilokuwa na afadhali! Tanganyika inasifika kwa ufisadi, na naona wote wenye sifa iyo ni wabara, je kimildizo unatataka viongozi wawe mafisadi tu? Huyaki watoke upande wa pili wa urojo? Kimildizo hebu twambie
 
Hivi unajua maana ya lulu, una akili timamu kumwita huyo zuzu lulu, hv unafananisha tanzania na choo kila mwenya haja anaingia, haiwezekani kamwe kuongozwa naye.
 
Ukweli kiongozi Kama Nahodha ni Lulu iliyojificha na kama atakuwa Raisi Tanzania tuitakayo itapatikana watanzania Tuamke Tukipata Rais kuwa Nahodha waziri Mkuu Magufuli Tanzania isiyo namakundi na yenye kujali Wananchi inawezekana.

sio mtanzania
 
Hivi wewe unaonglea upuuza gani asa yeye ukajifananishe na ww usiyeweza ata kujadiliwa katika mitandao ya kijamii. ivi unafikiri Nahodha samani yake katika hii Tanzania ni zaidi kuliko ata Nyerere kwa muda huu.

Na kama hastahili ana stahili ivi sasa kuku mmoja nayekuongoza ni wewe mana yeye ndo waziri wako wa mambo ya ndani Asa sijuwi kuku wewe utatoka bandani ukapandiwe na majogoo ya nje auu utabaki katika banda analoliongoza yeye...................

"Think before saying" wewe usikurupuke tu kuchangia huu mtandao wa watu wenye akili kama sisi. changia yenye kuleta maani Mpime kwa Udhani unaeleweka si kusema tu. I hope Mungu Ambariki Awe RAIS
You must be from Zenj. Tafuta Mzenj mwingine wakumpigia debe mshkaji hana mashiko.
 
hapana ;hapana,;hapana, hapana,;hapana, hapana, hapana ,;hapana, hapana,;hapana with a big NOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!

Jamani mbona wazenji walimkataa si aliomba kuwa rais wa visiwa vya zenji huyu na akapigwa ban Hivi Cheo cha Waziri kiongozi na wa Zenji na waziri wa JMT kipi kipo juu kama siyo demotion

ok ona watu wanavyo uawa na polisi naye yupo kimya kama kasafili vile 

Bongo tunamsubiri Dr Slaa au Mh. Lowassa (my take)
 
Kimildizo uliposema kuwa kuna maana gani rais kutoka upande huo ulimaanisha Zanzibar?

Km ulimaanisha Zanzibar itabidi nkupe pole mana waznz tunashkuru hawa ma rais tuliokuwa nao hawana migodi ya makaa ya mawe wkt watu wankufa na njaa, hawajapeleka jeshi pemba kuua watu ovyo km bosi wa ukweli na uwazi alivofanya, hatujawahi kuwa na dictator aliekosa huruma na aliekuwa mbaguzi km jamaa mmoja aloleta stori za wazanzibari na wazanzibara!! Sasa sijui kiongozi atoke pande ipi ilokuwa na afadhali! Tanganyika inasifika kwa ufisadi, na naona wote wenye sifa iyo ni wabara, je kimildizo unatataka viongozi wawe mafisadi tu? Huyaki watoke upande wa pili wa urojo? Kimildizo hebu twambie

Hujamuelewa Kimildizo, calling a spade a spade anasema watu wa dini fulani ni watendaji wazuri na dini nyengine wafujaji unless nimemuelewa vibaya.
 
Kweli kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.
 
niiiniiii... 2015-2025.. ni zamu yetu... nyie kaeni kando kwanza.. kwani kila awamu mnazoshika nchi huwa lazima iyumbe,, Siji sahau Mwinyi alivyotufanya.. Mwerevu na aelewe
 
Nyerere alijenga Nchi na kulinda thamani ya shilingi, Mwinyi akabomao nchi na kuporomosha shilingi. Akaja Mkapa akajenga uchumi na kuzuia mfumuko wa bei, Kikwete kabomoa uchumi na kuruhusu mfumuko wa bei kwenda kasi kama maji ya mvua na shilingi leo ni 1850. Sasa kuna haja gani tena rais ajaye atoke upande huo?

Huyo mkapa si kwasababu aliuza migodi yote kwa wazungu wa dini yenu ndio maana alifaa? Pia aliwauzia wakristo wenzake nyumba za umma, na kujiuzia mgodi wa kiwira! Huo ndio uongozi uliotukuka! Usiongee tu mtu wangu, fanya kwanza utafiati hata mdogo tu, angalia mafisadi wanaoitafuna nchi kama si wa dini yako, akina chenge, El, balali, wasira, mramba, Liu, nk.
 
Ni mtu ambaye ana msimamo na huwa anaonekana yuko upande wa wananchi ila anabanwa na walio juu yake na hata sasa anashindwa kufanya maazi magumu kwenye jeshi la polisi kutokana na IGP kuwa semeji wa fulani hivyo hana sauti kwa mtu wa chini yake ila kama atakuwa na maamuzi ya juu anaweza kuwa Rais bora kabisa.
 
Back
Top Bottom