Wakuu, ITV wapo live kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha dar es salaam, wageni mbali mbali naona wameshafika, na wengine wanaendelea kufika. Miongoni mwa waliofika ni, Rais Mstaafu wa awamu ya pili Al haj Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Serikali, Mh Mwinchande, Waziri wa Nyumba na Makazi Mama tibaijuka. Wabunge, Mawaziri na Mabarozi Mbali mbali. Wakuu tujuzane na tupeane taarifa muhimu juu ya Mafanikio umuhim, mapungufu na mchango wa UDSM Kwa taifa letu.
Nawasilisha!
Nawasilisha!