Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Maskini ya mungu nawaonea huruma magwanda jinsi Rostam alivyowakaa rohoni. Na yule kijana ni kichwa hapana mchezo, walipoanza siasa maji taka. Akang'atuka kwa mbwembwe akahakikisha na jimbo analoliacha anamuweka anaemtaka. Sasa magwanda na vibaraka wao bado wanahaha Rostam, Rostam, Rostam. Rostam.

Mmekosa hoja zaidi ya Rostam?

Rostam ndio huyo, anafanya ma business yake tu kwa sasa, ndani na nje ya Tanzania. Kimyaa, Bukheir wa afya.

Si mtafute nembo nyingine ya kuwapaisha? Naona na humu JF nembo ya FF inawapaisha. Kama mnabisha rejeeni nyuzi alizofunguwa mleta mada, zote za zamani muone kama zimewahi kupata responze kama hii aliyoanza kwa kuweka nembo ya FF na mada ya Rostam. Mnanchekesha!
 
Duh!mnanikumbusha mbali sana "Naomba nikajifikirie nitatoa jibu..usikondo"Huyu dada apewe muda akajifikirie kwanza,nadhani tutapata kile tulichotarajia zaidi ya kuambiwa tunachekesha!
 
Maskini ya mungu nawaonea huruma magwanda jinsi Rostam alivyowakaa rohoni. Na yule kijana ni kichwa hapana mchezo, walipoanza siasa maji taka. Akang'atuka kwa mbwembwe akahakikisha na jimbo analoliacha anamuweka anaemtaka. Sasa magwanda na vibaraka wao bado wanahaha Rostam, Rostam, Rostam. Rostam.

Mmekosa hoja zaidi ya Rostam?

Rostam ndio huyo, anafanya ma business yake tu kwa sasa, ndani na nje ya Tanzania. Kimyaa, Bukheir wa afya.

Si mtafute nembo nyingine ya kuwapaisha? Naona na humu JF nembo ya FF inawapaisha. Kama mnabisha rejeeni nyuzi alizofunguwa mleta mada, zote za zamani muone kama zimewahi kupata responze kama hii aliyoanza kwa kuweka nembo ya FF na mada ya Rostam. Mnanchekesha!
Jibu swali wewe.
 
Mie naomba tu hawa WAPAMBE wanijibu kwa ufupi:

Nini maoni yenu kuhusu maneno ya Nnape huko Mwanza kutaka kuwashikisha ukuta Ngosha wa huko ili wakione Kidume cha Mbegu?

Je, huko ndani ya CCM (ukiacha V.Mzindakaya ambaye inajulikana alishikishwa WC na Beno Malisa pale Blue Pearl Ubungo na Nchemba ambaye alitembeza jogoo lake mbele ya wake wa wana CCM wenzake huko Igunga) je hawa Vidume vya mbegu wengine ni kweli hushikisha kuta wanaume humo ndani ya vikao vyenu vya CCM? Au ndiyo walitaka kujifunzia kwa Ngosha wa Mwanza?

Mmeshawapa somo madhara ya kushikisha wanaume ukuta kuwa ni rahisi sana kuyakwaa mawaya hata kama unatumia Ndomu iliyoandikwa Extra Safe?

Mwisho ni ombi kwa ndugu yangu Kingwangala: Angalia sana kundi unaloanza kutembea nalo.
 
hahah!! unajua nani anaandikaga hivi??
Duh!! kumbe?!!
ID moja ikiwa imepumzika, nyingine inakuwa hewani!!!
gotcha!!!

Hapo nilipokuwekea rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya lugha yetu tamu ya Kiswahili, ungeandika "anaandika" tosha kabisa bila hiyo "ga", usingejulikana kuwa ni wakuja.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Wanachekesha!
 
Hapo nilipokuwekea rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya lugha yetu tamu ya Kiswahili, ungeandika "anaandika" tosha kabisa bila hiyo "ga", usingejulikana kuwa ni wakuja.
haa kumbe nawe waweza kukosoa wenzio ilihali umekosa MISAMIATI ya kiswahili chunguza kwa makini post zako neno " UNACHEKESHA " halikosi

Kiswahili kina misamiati ya kutosha badili japo huu msamiati
 
Maskini ya mungu nawaonea huruma magwanda jinsi Rostam alivyowakaa rohoni. Na yule kijana ni kichwa hapana mchezo, walipoanza siasa maji taka. Akang'atuka kwa mbwembwe akahakikisha na jimbo analoliacha anamuweka anaemtaka. Sasa magwanda na vibaraka wao bado wanahaha Rostam, Rostam, Rostam. Rostam.

Mmekosa hoja zaidi ya Rostam?

Rostam ndio huyo, anafanya ma business yake tu kwa sasa, ndani na nje ya Tanzania. Kimyaa, Bukheir wa afya.

Si mtafute nembo nyingine ya kuwapaisha? Naona na humu JF nembo ya FF inawapaisha. Kama mnabisha rejeeni nyuzi alizofunguwa mleta mada, zote za zamani muone kama zimewahi kupata responze kama hii aliyoanza kwa kuweka nembo ya FF na mada ya Rostam. Mnanchekesha!

Nadhani sugu za nyani wazijua zilipo.so wewe ndo unavyofikiria kwa kutuma sehemu izo.
 
haa kumbe nawe waweza kukosoa wenzio ilihali umekosa MISAMIATI ya kiswahili chunguza kwa makini post zako neno " UNACHEKESHA " halikosi

Kiswahili kina misamiati ya kutosha badili japo huu msamiati

Kwenye nyekundu hapo umekosea, huwa naandika "Unanchekesha!" umeiona tofauti na ulivyoandika wewe?
 
TUJIKUMBUSHE AHADI ZA JAKAYA MRISHO KIKWETE 2010/2015. 1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka
mikoa ya Kanda ya ziwa- Nzega, Tabora 2. Mkoa
wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini 3.
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga 4.
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa
Shinyanga (SHIRECU) -Shinyanga 5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma 6. Wakulima
kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini 7.
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo,
Dodoma 8. Wananchi kutoondolewa kwenye
Ranchi ya Misenyi - Kagera 9. Kujenga Uwanja wa
Ndege Misenyi - Kagera 10. KupanuaUwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini 11. Kujengauwanja
wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini 12.
Mtukulakupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoaya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na
Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa
yaumeme - Kagera 14. KuimarishaTakukuru kwa miaka mitatu - Kagera 15. Hukumukwa
waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya 16.
Kununuameli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzishabenki ndogondogo kwa ajili ya
wajasiriamali 18. Serikalikuvisaidia vyama vya
ushirika - Mwanza 19. Kuimarishausalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi
maalum
chenyevifaa kupambana na wahalifu - Mwanza 20.
Wilayaya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari
mwakani - Geita 21. Kulindamuungano kwa nguvu
zote - Pemba 22. Kuwajengeanyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro 23. Kununuameli
mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini 24.
Kujengabandari Kasanga – Rukwa 25.
Kumalizatatizo la walimu miaka mitano ijayo -
Songea 26. Kufufuamgodi wa makaa ya mawe
Kiwira - Mbeya 27. Kuzuiahatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga 28. Kununuabajaji 400
kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini -
Iringa 29. Kujengabarabara yenye kiwango cha
lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio
nakuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar
es salaam - Same mkoani Kilimanjaro 30. Kumalizatatizo la maji katika wilaya ya Same - Same
Mjini 31. Kuboreshabarabara za Igunga - Tabora 32.
Kusambazawalimu 16,000 katika shule za
sekondari zenye upungufu makubwa wa
walimu -Kisesa Magu 33. Kununuavyandarua viwili
kwa kila kaya - Mbeya Mjini 34. Kuzipandishahadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili
kuipunguzia
mzigoHospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) -
Hydom Manyara 35. Kulindaamani nchini kwa
kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa -
Musoma 36. Kulindahaki za walemavu - Makete 37. Kujengabaabara ya Njombe - Makete kwa kiwango
cha lami,urefu wa kilomita 109 -
Iringamjini 38. Kujengabarabara Musoma – Mto wa
Mbu Arusha - Arusha 39. Kuanzishajimbo la
Ulyankulu- Shinyanga Mjini 40. Kujengabarabara ya
lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora 41. Kukarabatibarabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboreshabarabara ya Handeni, Kondoa, mpaka
Singida - Dodoma 43. Kuwafidiawanakijiji ng’ombe
waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 -
Longido 44. Vijijivyote vilivyoko kilomita 15
kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji
waZiwa Victoria - Shinyanga-Kahama
kuunganishiwa maji - Shinyanga 45. Tatizola
umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu
mkoani Arusha – Arusha mjini 46.
Kukopeshawavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma 47. Kuwapatiamaji wakazi wa
Wilaya ya Longido - Longido 48. Kujengabarabara
ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya
Seregenti –
Ngorongoro 49. Utekelezajiwa mpango wa
maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na
kutunzamifugo yao vizuri - Mbulu mkoani
Manyara 50. Kusambazamaji nchi nzima - Babati
vijijini 51. Kusambazaumeme, utoaji wa huduma za
afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji
nautoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini 52. Kuongezamara tatu
idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya
pembejeo za
kilimo kwamfumo wa vocha - Iringa 53.
KuhakikishaIsimani inapata maji ya uhakika -
Iringa 54. Kuiwekealami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo
ndiyohifadhi kubwa kuliko zote Tanzania -
Iringa 55. Kulindausalama wa wananchi kwa
ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomezamalaria 2015 - Bunda, mkoa wa
Mara 57. Kuwapawanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa 58. Ahadikuisadia Zanzibar kuendeleza
miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti
MjiniZanzibar 59. Kuipandishahadhi hospitali ya
Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa -
Kibandamaiti
mjiniZanzibar 60. KuisaidiaZanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti 61.
Serikalikujenga upya bandari ya Mbambabay -
Ruvuma 62. Ununuziwa Meli mpya yenye uwezo
wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma 63.
kufufuachama kikuu cha ushirika cha wakulima
wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma 64. AhadiRais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada
Tanzania – Ruvuma 65. Ahadihakutakuwa na
umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es
Salaam 66. Mtwarakuwa mji wa Viwanda –
Mtwara 67. Ahadiujenzi wa kwanda cha dawa ya
kuua viluilui vya mbu - Kibaha 68. Hospitaliya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha 69. Halmashauriya
manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la
viwanda - Kibaha
 
Kwako Bibiye FaizaFoxy

Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).

Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)

Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako

Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA

Wako Albedo

CDM haitaki wasaliti.
 
TUJIKUMBUSHE AHADI ZA JAKAYA MRISHO KIKWETE 2010/2015. 1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka
mikoa ya Kanda ya ziwa- Nzega, Tabora 2. Mkoa
wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini 3.
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga 4.
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa
Shinyanga (SHIRECU) -Shinyanga 5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma 6. Wakulima
kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini 7.
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo,
Dodoma 8. Wananchi kutoondolewa kwenye
Ranchi ya Misenyi - Kagera 9. Kujenga Uwanja wa
Ndege Misenyi - Kagera 10. KupanuaUwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini 11. Kujengauwanja
wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini 12.
Mtukulakupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoaya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na
Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa
yaumeme - Kagera 14. KuimarishaTakukuru kwa miaka mitatu - Kagera 15. Hukumukwa
waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya 16.
Kununuameli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzishabenki ndogondogo kwa ajili ya
wajasiriamali 18. Serikalikuvisaidia vyama vya
ushirika - Mwanza 19. Kuimarishausalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi
maalum
chenyevifaa kupambana na wahalifu - Mwanza 20.
Wilayaya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari
mwakani - Geita 21. Kulindamuungano kwa nguvu
zote - Pemba 22. Kuwajengeanyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro 23. Kununuameli
mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini 24.
Kujengabandari Kasanga – Rukwa 25.
Kumalizatatizo la walimu miaka mitano ijayo -
Songea 26. Kufufuamgodi wa makaa ya mawe
Kiwira - Mbeya 27. Kuzuiahatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga 28. Kununuabajaji 400
kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini -
Iringa 29. Kujengabarabara yenye kiwango cha
lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio
nakuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar
es salaam - Same mkoani Kilimanjaro 30. Kumalizatatizo la maji katika wilaya ya Same - Same
Mjini 31. Kuboreshabarabara za Igunga - Tabora 32.
Kusambazawalimu 16,000 katika shule za
sekondari zenye upungufu makubwa wa
walimu -Kisesa Magu 33. Kununuavyandarua viwili
kwa kila kaya - Mbeya Mjini 34. Kuzipandishahadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili
kuipunguzia
mzigoHospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) -
Hydom Manyara 35. Kulindaamani nchini kwa
kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa -
Musoma 36. Kulindahaki za walemavu - Makete 37. Kujengabaabara ya Njombe - Makete kwa kiwango
cha lami,urefu wa kilomita 109 -
Iringamjini 38. Kujengabarabara Musoma – Mto wa
Mbu Arusha - Arusha 39. Kuanzishajimbo la
Ulyankulu- Shinyanga Mjini 40. Kujengabarabara ya
lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora 41. Kukarabatibarabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboreshabarabara ya Handeni, Kondoa, mpaka
Singida - Dodoma 43. Kuwafidiawanakijiji ng'ombe
waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 -
Longido 44. Vijijivyote vilivyoko kilomita 15
kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji
waZiwa Victoria - Shinyanga-Kahama
kuunganishiwa maji - Shinyanga 45. Tatizola
umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu
mkoani Arusha – Arusha mjini 46.
Kukopeshawavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma 47. Kuwapatiamaji wakazi wa
Wilaya ya Longido - Longido 48. Kujengabarabara
ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya
Seregenti –
Ngorongoro 49. Utekelezajiwa mpango wa
maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na
kutunzamifugo yao vizuri - Mbulu mkoani
Manyara 50. Kusambazamaji nchi nzima - Babati
vijijini 51. Kusambazaumeme, utoaji wa huduma za
afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji
nautoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini 52. Kuongezamara tatu
idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya
pembejeo za
kilimo kwamfumo wa vocha - Iringa 53.
KuhakikishaIsimani inapata maji ya uhakika -
Iringa 54. Kuiwekealami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo
ndiyohifadhi kubwa kuliko zote Tanzania -
Iringa 55. Kulindausalama wa wananchi kwa
ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomezamalaria 2015 - Bunda, mkoa wa
Mara 57. Kuwapawanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa 58. Ahadikuisadia Zanzibar kuendeleza
miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti
MjiniZanzibar 59. Kuipandishahadhi hospitali ya
Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa -
Kibandamaiti
mjiniZanzibar 60. KuisaidiaZanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti 61.
Serikalikujenga upya bandari ya Mbambabay -
Ruvuma 62. Ununuziwa Meli mpya yenye uwezo
wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma 63.
kufufuachama kikuu cha ushirika cha wakulima
wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma 64. AhadiRais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada
Tanzania – Ruvuma 65. Ahadihakutakuwa na
umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es
Salaam 66. Mtwarakuwa mji wa Viwanda –
Mtwara 67. Ahadiujenzi wa kwanda cha dawa ya
kuua viluilui vya mbu - Kibaha 68. Hospitaliya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha 69. Halmashauriya
manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la
viwanda - Kibaha

Mbona umesahau za Barabara, vyuo vikuu, hospitali, na ushindi wa 2010. Vipi?
 
Najua FF anaogopa Kujibu Swali langu kwani linaweza kupelekea yeye Kukosa Mgao wa Vocha
 
Back
Top Bottom