Hatma ya Kenya na utalii wetu East Africa

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wakubwa mnaonaje kenya kuingia vitani na Al shabab na utalii wetu mwambao wa africa mashariki?
 
somalia sio pakuchezea, wamarekani walishindwa vita kwenye miaka ya 90 wakaondoka, walikuja wa ethiopia walitaka kuikalia somalia wameshindwa na wameondoka, sasa wapo wa uganda na burundi na kenya sasa wameingia nao watachemka wataondoka, IMPACT YA HII KWENYE UTALII WETU NI KUWA KUAN UWEZEKANO WA WATALII KUSHINDWA KUJA KWENYE MWAMBAO WOTE WA E.AFRICA ,japo nilimsikia wazili maige akijidai kuwa eneo letu ni salama kwaiyo watalii waendelee kuja, aache siasa wajipange watumia njia zote kuwalidhisha watalii ili waone kuwa kwetu ni salama.
 
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji, wadhani wakiachwa wataishia Kenya? Watawafuata wadhungu hadi Ngorongoro...
 
it will be our time to raise and shine in the tourism industry, so do not be worried folks.
 
Lakini lets get our facts right my brothers and sisters from E. Africa. The Al shabaab people have been a threat to peace in the region so ni lazima watalii watatorokea Africa kusini. Countless people have been captured in Kenya and most of them tourists. I think Kenya is doing the noble thing of making sure that they attach them head on. So far so good, Ras Kamboni another strong hold of Alshabaab operatives has been captured by the kenyan soldiers. Alshabaab just like LRA should be wiped out for tourists to come to the region peacifully.... watalii watajaa hapa usiwe na shaka.
 
Back
Top Bottom