Recent content by nyaropio

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameacha kutumia sindano za uzazi lakini hapati ujauzito

    Hivi watu kwa nini hampendi kutumia lugha ya taifa ??ina maana hujui kama bread ni mkate??
  2. N

    JamiiForums Tanzania Majambazi wajeruhi na kupora Ngara

    Acha ubazazi mkoa wa Mara tangu lini ukawa na wilaya ya Ngara??
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: Chura Ananesanesa! Jike Shupaza

    Lara mbn unatuchomesha mahindi wenzio??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sheria inayompa mamlaka rais Magufuli kumuachia huru Babu Seya

    Mh wewe kweli Bongo lala,nani kakwambi watoto hawasemi uwongo?? Sasa ushahidi wa watoto huwa una mashaka mno kortini na ndiyo maana kabla ya kutoa ushahidi wanafanyiwa kitu kinaitwa voledaire test ,mahakama ikijiridhisha na uwezo wa mtoto wa utambuzi ndio huchukua ushahidi,kwa ufupi watoto...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Judy ni mwanamke flani mwenye tabia ambazo hakuna gentleman ataweza kuvumilia,ataishia kuoata wanaume marioo siku zotee km hatobadilika..kwanza alimuiba Gadna kwa mwanamke mwenzie akategemea anaweza kumfanya awe wake milele kwa kumpa pesa na mali hatimae ikawa kinyume ,kwa ufupi ni mwanamke...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sheria inayompa mamlaka rais Magufuli kumuachia huru Babu Seya

    Msamaha wa Raisi hauwahusu wenye makosa ya ubakaji,unyang'anyi wa kutumia silaha,uhaini,uuwaji na makosa mengine yoote makubwa ambayo hupelekea adhabu za muda mrefu au kifo...wanaachiwa watu wenye makosa ya kawaida sana na pia waliotumikia kwa kiwango flani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

  8. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ujamaa na kujitegemea ndiyo sera ya mwalimu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kutoboa pua Platnumz, BASATA itoe tamko kwa video zake

    Nawewe ni great thinker??
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni namna gani ya kugundua bikira feki?

    Jamani mwanamke bikira ukianza kumwingilia utamjua hata usoni yani anaogopa ,anatetemeka mwili mzima mpk mapaja,anatoka jasho ,japo kutoka damu inategemea na wewe umemuingilia vip km ulienda kwa upole tu damu haiwezi kutoka,bikira feki damu hutoka nyingi maana huwa wanachanika kbsaa ila orijino...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upimaji holela DNA udhibitiwe

    DNA kwa Tz ipo kwa mkemia mkuu wa serikali tuuu,na inatumika kutambua vinasaba mbalimbali hata vya wahalifu pia ,lakini kufikia maamuzi ya kupima ni lazima muwe mmeanza mbali na mzazi mwenzio i mean kuwe na mgogoro mahakamani ambao mahakama kwa busara zake itaona kuwa ili kutatua mgogoro huo ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mahakama naomba kujua

    Dah ndo nshadhulumiwa hivooo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mahakama naomba kujua

    Mwezi December
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mahakama naomba kujua

    Hapana mie mjasiriamali,nlikopesha wanajeshi wameshanipa ,ppf nimkwenda leo nimepewa changu sasa yeye anasema mshahara wao mpk tar 28 duh au ndio kashanipiga sound...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mahakama naomba kujua

    Jamani kuna hakimu namdai sasa ananiambia et mishahara yao haijatoka ,km kuna wanaofanya kazi mahakamani mnijuze pls.....maana watu woote naona wanasema serikalini washapewa chao sasa huyu jamaa sijui vipi
Back
Top Bottom