Watumishi wa mahakama naomba kujua

nyaropio

Member
Mar 26, 2015
93
39
Jamani kuna hakimu namdai sasa ananiambia et mishahara yao haijatoka ,km kuna wanaofanya kazi mahakamani mnijuze pls.....maana watu woote naona wanasema serikalini washapewa chao sasa huyu jamaa sijui vipi
 
Isije ikawa wewe ndo mh. Hakimu ujapewa chako hadi sasa hivi....

Hapana mie mjasiriamali,nlikopesha wanajeshi wameshanipa ,ppf nimkwenda leo nimepewa changu sasa yeye anasema mshahara wao mpk tar 28 duh au ndio kashanipiga sound...
 
Back
Top Bottom