Recent content by NYANGONGO

  1. N

    Nani mwenye ujasiri wa kusahihisha kauli ya Mwalimu Nyerere katika historia ya TANU?

    Mzee wangu Mohamed Said, salam alaykum. Kwanza naomba kutangaza maslahi, mimi ni muislam. Pili naomba kumshukuru Mungu kwa kipaji kikubwa alichokujalia, una hekima, busara nyingi na upeo mkubwa wa upambanuzi wa mambo (kwa mtazamo wangu ). Hoja yangu; Mimi sio mtaalamu mbobezi wa historia kama...
  2. N

    Mawazo yenu waungwana "je, kuna uhusiano wowote kati ya kumpenda mtu kwa dhati na kukumbuka siku yake ya kuzaliwa?"

    Ndugu na marafiki zangu naombeni tubadilishane mawazo katika hili katika familia yangu hakujawahi kuwa na umuhimu wowote ule wa siku hii ya kuzaliwa, kuanzia kwa wazazi mpaka mimi na ndugu zangu. Aghalabu hutokea hata mimi mwenyewe kukumbuka siku hii ikiwa imekwishanipita kwa wiki kadhaa...
  3. N

    Baraza la madiwani Kinondoni lawachukulia hatua wafanyakazi 18 wa Halmashauri

    Mkuu siamini uelewa wako kuhusu masuala ya Halmashauri yako uko hivi. Ukiujua ukweli utajisikia vibaya naamini. Sheria ya utumishi no.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003, baraza la madiwani ndio mamlaka ya nidhamu kwa watumishi wote except mkurugenzi.
  4. N

    Tufahamiane tuliopo miji mbalimbali duniani

    Kanyosha kaka, sio kanyasho...
  5. N

    Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

    Hongera sana brother.
  6. N

    Nilichojifunza kuhusu punyeto

    Nitakufa Lini, umenikumbusha boys mi nimeondoka hapo 1999.Ilikua unaoga then unaona vitu vyeupe msululu vikitokea mabafu ya jirani then na mimi naunga msafara.Hii kitu mi nahisi wanaume rijali wengi sana kama sio wote wamepitia kwa njia moja au nyingine.
  7. N

    Kama ulilelewa na wasio wazazi wako basi una deni

    Neno 1, upo right 100%. Mimi pia ni victim of the same situation.
  8. N

    Mama mjamzito miezi 8 anaruhusiwa kupanda ndege?

    Brother Nundas. Anaruhusiwa kusafiri but ni lazima awe na cheti cha ruhusa ya daktari kwamba hali take inaruhusu. Bila uthibitisho wa Daktari atapata usumbufu au kuzuiliwa kusafiri.
  9. N

    Kikwete aliremba mwandiko muda haukutosha akafeli... Magufuli hasomi maelekezo, atafeli

    Mtoa mada, nina uhakika wewe sio mhandisi kama mimi. Wewe ni Ngwini ambae upo competent sana.Big up for great thingking.
  10. N

    Happy birthday to me

    Happy birthday kaka
  11. N

    Do you know of a subject harder than Mathematics?

    What i know and i strongly believe is that, Mathematics is the easiest subject.
  12. N

    Vipaji maalum si lolote, si chochote

    Duh, mleta thread ulipiga four nini kaka?Hii ni tabia ya least performers wengi, mtu kupata 'A' zote mfano, isnt it a special thing?Of course ni mfano tu, hata kupata 'F' zote ni special kaka..., na hisi na wewe ni special ya aina ya pili, unaona wivu kutambuliwa kwa special case moja, much...
Back
Top Bottom