Mr egm
Senior Member
- Jan 24, 2014
- 154
- 6
physics ndugu na ndo maana wenye c za physicsadvance na o-level 2nahaki ya kuringa
hahahahaaaaaaa.
kwa kweli ni kuringa
physics ndugu na ndo maana wenye c za physicsadvance na o-level 2nahaki ya kuringa
WanaJF, We have been to all sorts of schools and colleges, at each level, subjects or courses related to mathematics are often shunned by many of us except those few good in maths whom we often adore as sharp minds("vipanga").This prompts me to ask is mathematics the most difficult subject? Is there any other subject probably harder than Maths that you know of? Responses.
Amin nawaambieni mimi ni kipanga wa Physics 'n Mathematics, Physics ni noma sana maana tulipokuwa tukisoma mathematics tulikuwa tunatumia kama lugha ya kusomea physics, kama English ilivyo muhimu katika kujibu maswali ya essays kwenye History,Geog. etc.
physics ndugu na ndo maana wenye c za physicsadvance na o-level 2nahaki ya kuringa
physics ndugu na ndo maana wenye c za physicsadvance na o-level 2nahaki ya kuringa
Biology hata mbwiga tu wanafaulu ila Physics mmmmh ile ni habari nyingine