ub16
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 420
- 317
Hivi, hilo li system ndo li-nini hilo? Ni lidubwana gani hilo? Na ni wajibu wa nani kulitengeneza na kuliboresha?
Oh by the way, hebu nitajie Watanzania watano tu ambao ni wachumi waliobobea na ambao kazi zao na vipaji vyao maalum vimekuwa ni of "greatest benefit on mankind"....
Leo hii wewe na mimi tunalumbana hapa kupitia kompyuta na intaneti ambazo zimevumbuliwa na kuboreshwa na watu...watu wenye vipaji maalum vya ukweli na si hivyo vyenu vya NECTA.
And you can see how much money and research they put into it kufanya computer and the internet iwe hivi ilivyo leo. Siwezi kuongelea uchumi, mi sio mchumi and I'm not interested in uchumi but one thing I know ni kuwa without money, we can't do research, without research we can't go anywhere in scientific and engineering fields.