nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 272
- 193
Habari za asubuh wadau wa jf.naomba kuweka wazi kwanza mimi ni mgeni sana wa kutumia usafiri wa anga.sijawahi kupanda ndege. Kuna best wangu ni binti mjamzito anataraji kujifungua mwezi ujao maana yake ujauzito wake una miez 8.sasa kuna taarifa zinachanganya kuhusu waja wazito kuruhusiwa kupanda ndege. Naombeni ushauri wenu je kweli wanaruhusiwa au vipi? yeye alikatiwa ticket na mtu na mbaya zaidi hyo mtu hakuweka wazi kama anaye safiri ni mjamzito. Kajaribu kuuliza kwa watu wanampa taarifa mchanganyiko tu.ushauri please!