Recent content by Nshomba Jr

  1. Nshomba Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIJAWAHI KURIDHIKA JE NINA TATIZO!!!!!!!

    Tafuta hela!! Oa!! Zaa!! Dogo.
  2. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania MELI MPYA YA AZAM YAWASILI ZANZIBAR.

    Azam Marine Adds Azam Sealink To Fleet « Azam News « Azam Marine, Kilimanjaro Fast Ferries [emoji115] zama humo uicheki
  3. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Wauza mkaa tumepokoywa leseni: Maharage yenu chemsheni kwenye Gas tu!

    Siwapongezi kwa kuwa si kila mtanzania ana uwezo wa kununia GAS au JIKO LA MAFUTA YA TAA
  4. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ameshindwa majukumuu yake?

    Rudisha fedha za umma kwenye mabenki ya biashara #mzeee watu wakopeshwe ili waweze kufanya biashara zao. Fuata ushauri wa watu #mzee usiende ende tu! Kama mlevi,Mara leo umesema hili Mara kesho umefanya lile. RUDISHA PESA ZA UMMA KWENYE BENKI ZA BIASHARA #mzee
  5. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania ya viwanda

    Safiii.. how viwanda bila mazingira rafiki kwa entrepreneur haitofanikiwa, .Mazingira rafiki 1.miundombinu bora na wezeshi 2.kupunguza mlundiko wa kodi za mapato 3.ushirikwishwaji wa wananchi katika kutunga sera stahiki za ukuzaji viwanda.
  6. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Hazina ya Tanzania imefilisika, Rais aseme tu ukweli

    Wafanya biashara wadogowadogo wanalia huku mitaani, maisha yao ya kila siku yamejawa malalamiko kila kukicha, factor mojawapo ya kupma uchumi ni pamoja na Per-capita income ya raia kwa uchumi wao. Eee Tanzania kataa unakopelekwa
  7. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    Big respect to this Bank, wametumwa kazi wafanya kazi wao Mungu awabariki kwa kweli, vijana n wachangamfu mpaka basi. Hongera kimei unachofanya ili awa watu wako wa act namna iyo..... Jaribu uvisit tawi la lumumba au Morogoro au Mpwapwa, nafikiri kwa uko panadisplay tabia ya benki nzima
  8. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Zile billion 3-5 zilizokusanywa; kwahiyo tuliikusanyia serikali masaada na si wananchi,
  9. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini

    The guy ni mwendawazimu.
  10. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania CCM watakuja na gia gani 2020?

    Hakuna cha gia wao ni kung'oka tuu .. Kila la heri upinzani,
  11. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Mamii, walipe Mishahara watumishi wa Umma wafurahie Xmass

    Wameshalipwa tangu tarehe 21.12.2016 Mkuu pole na taarifa zisizo sahihi, isipokuwa uko sawa ENZIII zilee kulikiwa hakuna watumishi hewa.
  12. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania Ni Muhongo Waziri ambaye hafanyi siasa bali kazi yake

    Ujue tu Prof Muhongo ndie kiongozi mwenye elimu ya juu na iliyoshiba ma research na publication za kutosha na kugombaniwa kila mahali.. MUHONGO ni kiongozi ila mimi nina wasiwasi na MWIJAGE tu kwenye huu uongozi.
  13. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

    Pumbavu** Nendeni mkarekebishe laws za Taxation on specialized industries tupate kodi za kutosha. Sio kufukuafukua mizigo ya walala hoi wenzangu. Inawezekanaje ni nunue LG ya $90 = Tzs 180,000/-. Afu unakuja kunipiga more than 100% Tax yaan Tzs 200,000/-. Acheni Ujinga.( coz nyote nyie...
  14. Nshomba Jr

    JamiiForums Tanzania HIZI MENO ZA TEMBO ZA BANDARINI ZANANII?? OOOHHYEYEEEOOHHOHHH

    Hizo meno za FARU JOHN
Back
Top Bottom