TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Kama unaondoka na chochote cha thamani una declare, kuna forms za kujaza wakati unatoka nacho.

Hivi mtu unakuja na TV kama baggage yako kwanini usi declare kabisa kabla hujapeleka mabegi yako kukaguliwa? Kuna chumba cha custom pale airport.

Na kuhusu huyo dada anavyopekuliwa hapo juu?
 
Mkuu huku kwenye Lodge wanakagua wateja wangapi wamelala kwenye vyumba na vinywaji vingapi vimeuzwa, ukiwapa mauzo ya chini hawataki..
Pengine wamewekewa lengo kubwa kuliko uhalisia, matokeo yake raia tunaishi kama enzi za ukoloni kukaguana kila pahala, Inaumiza kwakweli.
 
Pumbavu**

Nendeni mkarekebishe laws za Taxation on specialized industries tupate kodi za kutosha.

Sio kufukuafukua mizigo ya walala hoi wenzangu.

Inawezekanaje ni nunue LG ya $90 = Tzs 180,000/-. Afu unakuja kunipiga more than 100% Tax yaan Tzs 200,000/-.

Acheni Ujinga.( coz nyote nyie mnafanya ili muonekane)
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers


waache wafanye kazi zao. Nyie mnakuwaga wa kwanza kukosoa TRA hawakusanyi mapato
 
Hey, you have problems.

You are carrying 27" of used TV from Far East all the way to Dar as LG TVs are not available in Dar and you are asked to pay 200K you say you don't have.

First, you rise all suspicious alarms by carrying a huge TV as accompanied baggage.

Second, you are so stupid not to know that TVs are subject to taxation, no matter what.

Next time use your common sense and know that we have LG TV dealers locally and they do not cost that much.

Who, in his right mind buys a used TV and bring it all the way from Singapore to Dar by air as accompanied baggage?

I am asking you, which airline? It seems the question is too hard to be answered.

Besides, you are talking about TV but your picture shows an opened bag. Pathetic.
Safari ya mwezini ikiisha you will have your common sense with you. You don't seem to have seen beggars in Dar, go n tax them.
 
Faiza kweli nimeamini kwanini huwa unarekebisha watu kiswahili na niliwahi kukwambia utakuwa mwalimu wa kiswahili!! Unasema umetembea mabara yote halafu kiingereza hujui kabisa! Basi nadhani huwa unasafiri na mkalimani!!!! Kiingereza gani hichi mrembo! Kweli lugha ya malkia ni shida!!! Hata mtoto wa kindergatten hawezi andika lugha ya kiingereza kibovu kama ulichoandika!!! Kuna umuhimu gani wa kutumia lugha usiyoijua kwa usahihi? Ina maana hata pc au simu unayotumia ilikuwa haikuonyeshi kuna makosa ya grammar? Pumbavu wewe!!!
Mkuu kunguru na tongwa wote ni ndege faiza foxy bora angetumia lugha anayoilewa kuliko pumba zenye makosa ya grammar hana tofauti na Pogba aliyeamua kusalimu amri. Teh teh teh ngeli bwana!
 
So people are not allowed to bring personal items or what?

I mean, you pay taxes when you purchase things like that but also you got to pay taxes again when you bring them with you into the country for your own personal use?

This country is going to hell in a hand-basket.
umbumbu wa sheria sio kinga ya kosa, naloliona hapa wengi sisi hatujui hizo sheria za custom zinasemaje kwa hiyo tukienda nje ya nchi tunanunua tu mavitu tukitegemea tutapita tu uwanja wa ndege na kutoka free. Maafisa wa TRA wao wanatekeleza sheria tu hawana kosa lolote. Tuzisome sheria za kodi na custom kama zina mapungufu tunayo nafasi ya kuziboresha kupitia taratibu zilizopo na sio kuwalaumu watu wakiwa wanafanya kazi zao na kutekeleza sheria.
 
Ukienda kununua bidhaa yoyote kaliakoo, mfano Tv ya 500,000 utapewa risiti ya 210,000 na hizo risiti ni za miezi au tarehe zilizopita na risiti hizo uchukuliwa kwenye duka lingine sio ulilonunua bidhaa.Kwamba kuna mtu/watu kazi yao ni kutoa risiti kwa niaba ya maduka mengine.Tafuteni namna ya kukusanya kodi kwa hawa wakwepaji!!!
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers


This issue is centered on the ignorance of tax laws na u-too much know wa Watanzania.
 
Mwanjomwanjo utamjuwa tu, wewe kusafiri unakuona kwa maana sana katika karne hii ambayo dunia ni kijiji?

Tena unakuja na ji TV la nchi 27 Kama accompanied baggage? Kama nchi nyingine wanalitupa kwenye dustbin.

For your information, nimekanyaga "continents" zote za dunia hii na hivi sasa nimeshafanya booking ya moon express na Virgin Galactic na probabilities are very high za kuwa abiria wa mwanzo mwanzo wa kutembelea mwezini.
hizo product mtu akinunua kariakoo analipa kodi.sasa watu wanataka ukija nacho kutoka nje wapite free.hy cyo fair.na tatizo watu hawafanyi declaration akishapekuliwa ndio analalamika.
 
Inategemea na quantity uliyongia nayo. Kama ni vichupa viwili vitatu vya kutumia mwenyewe haulipishwi.

Muulize huyo "mshikaji" wako alikuwa na chupa ngapi?
Na ujazo pia wanaangalia si liquid hizo.
 
Muwe mnashukia nairobi halafu namanga mpite njia za panya.
Sasa kama unalipia ushuru mpaka tube ya colgate iliyomo kwenye bag,mambo yameshakuwa mambo.
 
Ngoja nitulize Ubongo kwanza nicheue kile ninachokifahamu:
Abiria wote wanaoingia nchini Tanzania kwa mujibu wa Sheria ya Forodha ya Afrika Mashariki ya 2004 na Marekebisho yake wanapaswa kukaguliwa 100% au mpaka pale ambapo Maofisa wa serikali watakaporidhika na ukaguzi huo. Na kwa mujibu wa sheria kwanza Mgeni au Mwenyeji anayerudi atasamehewa kodi kama vitu alivyobeba vinaqualify exemption, Kwa mfano Personal Effects( Yaani huu ni Mzigo ambao una vitu ambavyo anayerudi ametumia si chini ya Miezi sita huko aliko) hapaswi kulipa kodi, Sasa hapa ndiyo kuna shida, Watu wanakuja na vitu vipya kabisa halafu hawataki kulipia kodi.
1.Kwanza hawaandiki vitu vyote na hata wakiandika wanadanganya kiasi walichobeba
2.Vipya wanaandika Used, sasa mtu anarudi na TV 4 au hata Moja, Lakini ni Mpya! Bei inayotumika ni Price Market wale Uchumi Mwaka wa Kwanza najua mnafahamu. Hata kama alipewa Bure SAMSUNG TV 60'' ukifika huku wanacheki database yao
Kingine hao mnawaona Maafisa Usalama, Maliasili, TFDA, Maafisa wa Forodha, Polisi-Wana majukumu makubwa yafuatayo:
1.Kuulinda Usalama wa mipaka ya nchi yaani Border Protection USA wanaita Customs Border Protection ipo chini ya DEPARTMENT OF HOMELAND SECURITY, Usalama wa raia( Yaani hiki ni kipawa mbele) ndiyo maana hata wewe ukitaka kwenda Marekani lazima wakufanyie face vetting hususani ktk rekodi zao ili wajiridhishe kama umewahi kufanya tukio lolote, Tena Marekani wanacheki hadi Ndege, Meli kama iliwahi kubeba madawa au tukio bovu lolote, hapo ndiyo utakuja kunielewa kwa nini watu wengi wakitaka kwenda kusoma nje wanabadili majina.

Kwa hiyo swala la kukaguliwa Binadamu yaani Rummaging ni Mandatory sema hapa Jinsia zinahusika, yaani KE anakaguliwa na KE likewise ME.

Ninaposema Usalama wa raia ni ulinzi kuhusu Ujambazi, Afya ndiyo maana ukitaka kwenda nchi nyingi duniani lazima upimwe afya na mengine mengi.

Swala la ukaguzi ni lazima mpaka waridhike, na kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kusamehe kodi au kumaliza kesi za kodi ni Kamishina pekee
 
Back
Top Bottom